Choo jamani kizuri hicho

Choo jamani kizuri hicho

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1932487_464367696996193_533249006_n.jpg
 
Kimetulia mkuu,ukiwa chooni hutojisikia vibaya!
 
Hakuna icho kitu mkuu sio kila kitu unaweza fanya na mpenzi/mke wako, mambo mengine huwezi
Mkuu kama mnaweza kufanya mambo makubwa kabisa na mpenzi wako,kwanini mshindwe kufanya jambo dogo kama hili?
 
Kweli, make hata akupende vp mpenzi wako, hawezi kukusindikiza chooni.

Pia, kwa ubunifu wao woote huu, yani kwenye hizo toilet roll ndo umeishia apo kweli?
Mbona mimi mke wangu huwa ananisindikiza chooni?nadhani hii inategemea na mpangilio wa wahusika katika maisha yao ya kimapenzi!
 
Mkuu kama mnaweza kufanya mambo makubwa kabisa na mpenzi wako,kwanini mshindwe kufanya jambo dogo kama hili?

Mkuu kila kitu kina mipaka yake, nimuone hadi anakuny.aje? Hapana ntakua namkosea adabu
 
Mkuu kila kitu kina mipaka yake, nimuone hadi anakuny.aje? Hapana ntakua namkosea adabu
Ni sawa mkuu,lakini hili jambo limekaa kisaikologia sana!kwa mfano mimi sipendi kabisa kumuona mke wangu anajifungua,lakini kuna watu wanapenda sana zoezi hili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom