A
Anonymous
Guest
Wahusika tunaomba mtupie macho barabara ya Namba choo kutokea Mubashara kuelekea nyumbani kwa Mwenyekiti wa Mtaa, haipitiki hasa wakati huu wa mvua.
Tunashukuru kwa ujenzi wa mabarabara unaoendelea, ila kwa upane wa barabara hii, naomba ipewe kipaumbele. Wanafunzi wa Sekondari ya Katente wanatumia pia.