Choo cha kuchuchumaa kinanishinda.

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,709
2,000
Mwanzoni nilikuwa mpinzani sana wa hivi vyoo vya kukaa, nilikuwa naona uchafu, kila mtu anaweka ------ yake pale, pia usipokuwa mwangalifu ukijisaidia maji yanaweza kukurukia, niliona ni rahisi kupata magonjwa. Kwa sasa imekuwa tofauti kabisa, choo changu pale nyumbani ni cha kuchuchumaa, tumbo limekuwa kubwa na pia uwezo wa kuchuchumaa muda mrefu nikikata gogo umepungua, nimejikuta nachuchumaa kidogo halafu nasimama halafu tena nachuchumaa kuendelea kukata gogo.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
11,224
2,000
yaelea wewe ni mnene kupitiliza pungusa kula,but kama choo ni "for u only" and u know how to keep it safe its ok
 
Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,159
1,225
Mwanzoni nilikuwa mpinzani sana wa hivi vyoo vya kukaa, nilikuwa naona uchafu, kila mtu anaweka ------ yake pale, pia usipokuwa mwangalifu ukijisaidia maji yanaweza kukurukia, niliona ni rahisi kupata magonjwa. Kwa sasa imekuwa tofauti kabisa, choo changu pale nyumbani ni cha kuchuchumaa, tumbo limekuwa kubwa na pia uwezo wa kuchuchumaa muda mrefu nikikata gogo umepungua, nimejikuta nachuchumaa kidogo halafu nasimama halafu tena nachuchumaa kuendelea kukata gogo.
Weka cha kukaa, ufungue kiwanda cha UTI
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
14,076
2,000
Ebu weka picha tuone kama kweli kinakupa taabu ha ha ha ha ha ha ha ha.

Mwanzoni nilikuwa mpinzani sana wa hivi vyoo vya kukaa, nilikuwa naona uchafu, kila mtu anaweka ------ yake pale, pia usipokuwa mwangalifu ukijisaidia maji yanaweza kukurukia, niliona ni rahisi kupata magonjwa. Kwa sasa imekuwa tofauti kabisa, choo changu pale nyumbani ni cha kuchuchumaa, tumbo limekuwa kubwa na pia uwezo wa kuchuchumaa muda mrefu nikikata gogo umepungua, nimejikuta nachuchumaa kidogo halafu nasimama halafu tena nachuchumaa kuendelea kukata gogo.
 
Maamuma

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
853
225
Unaweza kutengeneza kiti au stuli yenye uwazi katikati. Unapohitaji kujisaidia unaweka kiti/stuli usawa wa shimo na kukaa juu yake. Utaona maisha yalivyo rahisi. Kila la heri.
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,709
2,000
In English please ...

unanipima kama najua english au unajifanya tu mzungu, hapa kiswahili asilimia 99, kwa nini wewe ndo usijifunze kiswahili kama kweli hukijui? mimi ndo nihangaike kukupa tafsiri.
 
lumanyisa

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
890
500
kuanzia leo fanya zoezi lakutembea japo kilometa 2 kila siku plus mazoez mengine yakukata tumbo na mama chanja akikukaribisha chakula chenye mafuta tingisha kichwa kulia kwenda kushoto then kushto kwenda kulia
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,709
2,000
kuanzia leo fanya zoezi lakutembea japo kilometa 2 kila siku plus mazoez mengine yakukata tumbo na mama chanja akikukaribisha chakula chenye mafuta tingisha kichwa kulia kwenda kushoto then kushto kwenda kulia

asante kwa ushauri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom