Choo cha jumuiya

kuna mazingira huwezi rekebisha kuna vyoo unakata gogo kwa machale huku unaruka pale unafanyaje?
Unatakiwa utangulize toilet paper inasaidia yale maji hayaruki.. na siku hizi kuna alcohol wipes zinaua bacteria so unasafisha pale kwenye kiti.. mambo murua
 
Unatakiwa utangulize toilet paper inasaidia yale maji hayaruki.. na siku hizi kuna alcohol wipes zinaua bacteria so unasafisha pale kwenye kiti.. mambo murua
mkuu siyo vya kukaa ohoo ujakutana na ambacho huwezi chuchumaa unabinua ukihisi limetoka na we unaruka ha ha ha
 
Ni vizuri ukarekebisha, ndiyo ustaarabu! Ukiacha hivyo hivyo na kama ulivyosema, mheshimiwa anaingia ulikotoka, atajua tu kwamba alidhania wewe ni mstaarabu kumbe siyo!!
 

I wish watu wengi wangekuwa kama wewe
 
Mimi stimu huwa zinakata mazima najiuliza kwani nini kimenileta humo
 
Dr huu ni mtihani sana. Ili uwe salama inabidi usafishe.
 
Kipindi nipo Ughaibuni nilipata kibarua cha usafi, sasa kinajumuisha kusafisha choo.. yani vitu nilivyokuwa nakutana navyo.....
nauhakika kuna mengine yatakuwa siri mpaka mwisho. Ndio maisha bro huku ajira hakuna kwahio huko hata msafisha jiji maisha yake yapo poa tu.
 
Kweli.
Kwa waliosoma boys vyoo vya shimo ni hatari... tulikuwa tunavua nguo zote kabla ya kuingia maana harufu utakayotoka nayo hapo ni balaa.
Ha ha ha hiyo itakuwa milango minane NSUMBA
 
utamaduni wa kujali vyoo hutofautiana na makabila,tabia, na utamaduni, niliwahi kusikia kuwa wachina hawatofautishi sana kinyesi na chakula,kwa maana kwamba unaweza ona chakula anapikia kwenye chumba ambacho ni jiko pia choo kwa maana hiyo maji machafu ya kuoshea labda vyombo au mikono yanatupwa kwenye mereji mmoja ndani ya chumba hicho hicho yaani pale anapika pale kinyesi kimetuwama kwenye mfereji ,pia hawana utamaduni wa kufunga milango kwenye vyoo,mwenye kulifafanua hili tafadhali kama amewahi kutana nalo huko uchina.
 
Mimi sihangaikagi hahaaa bampa tu bampa. Kmzigo juu ya mzigo Nikikuta uyoga moja naacha uyoga mbili. Anayetaka kusafisha atasafisha yeye. Au kama vp waache tu mpaka kisinki kijae
Du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…