Profesa Ibrahim Lipumba - Mwenyekiti wa CUF amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati suala la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati suala la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile alichokidai ni kuepusha vurugu na matatizo kwenye uchaguzi huo.

Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika Novemba 24, 2019.

"Kuepusha suala la vurugu kwenye Uchaguzi huu, naomba Rais Magufuli aingilie kati suala hili na wagombea walioenguliwa wapewe nafasi ya kuteuliwa kugombea".

Profesa Lipumba ameendelea kwa kusema,"Kitendo cha kuwanyima fomu wagombea wa upinzani sio tu halina tija kwenye ukuaji wa Demokrasia, pia ni matumizi mabaya na hela za umma, huwezi ukafanya semina, kuchapisha nyaraka mbalimbali huku ukijua hakuna uchaguzi bali wagombea wanapita bila kupingwa".
 
Huyu IL ana akili sawasawa kweli huyu?!

Ananikumbusha back in the days when I was a stupid junior school kid!!

Kutoakana na ununda ununda wa Uswazi, nikawaletea ununda askari waliokuwa kazini... wacha wanitandike makofi!!

Nilivyokuwa lofa, nikasema "sikubali" na kweli sikukubali... nikaenda Police Post kuwashitaki Polisi walionipiga makofi!

Jamaa wakanihoji hoji, baadae wakaniambia niondoke nirudi home... nikagoma, kwamba siondoki! Na kweli sikuondoka! Thanks God wakati wananihoji hoji wakawa wameshamfahamu Mshua vinginevyo baada ya makofi, ningekula virungu!

Hadi saa 12 jioni, madingi hawamuoni kijana wao... kufuatilia, wanasikia nipo police post!!

Baadae Bi Mkubwa akaniuliza swali moja tu: "Hivi una akili kweli wewe... yaani unakula makofi ya polisi halafu unaenda polisi kumshitaki polisi!"
 
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati suala la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile alichokidai ni kuepusha vurugu na matatizo kwenye uchaguzi huo.

Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika Novemba 24, 2019.

"Kuepusha suala la vurugu kwenye Uchaguzi huu, naomba Rais Magufuli aingilie kati suala hili na wagombea walioenguliwa wapewe nafasi ya kuteuliwa kugombea".

Profesa Lipumba ameendelea kwa kusema,"Kitendo cha kuwanyima fomu wagombea wa upinzani sio tu halina tija kwenye ukuaji wa Demokrasia, pia ni matumizi mabaya na hela za umma, huwezi ukafanya semina, kuchapisha nyaraka mbalimbali huku ukijua hakuna uchaguzi bali wagombea wanapita bila kupingwa".
Amuambie tu Jaffo maana ndiye msimamizi wa uchaguzi..................tusimtwishe Rais mizigo isiyo ya lazima!
 
S
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati suala la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile alichokidai ni kuepusha vurugu na matatizo kwenye uchaguzi huo.

Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika Novemba 24, 2019.

"Kuepusha suala la vurugu kwenye Uchaguzi huu, naomba Rais Magufuli aingilie kati suala hili na wagombea walioenguliwa wapewe nafasi ya kuteuliwa kugombea".

Profesa Lipumba ameendelea kwa kusema,"Kitendo cha kuwanyima fomu wagombea wa upinzani sio tu halina tija kwenye ukuaji wa Demokrasia, pia ni matumizi mabaya na hela za umma, huwezi ukafanya semina, kuchapisha nyaraka mbalimbali huku ukijua hakuna uchaguzi bali wagombea wanapita bila kupingwa".
AC zote za ikulu mnyamwezi kaloa jasho mwili mzima, hapo ndio siku alipokabidhiwa ramani ya utekelezaji wa kuizika cuf
 
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati suala la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile alichokidai ni kuepusha vurugu na matatizo kwenye uchaguzi huo.

Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika Novemba 24, 2019.

"Kuepusha suala la vurugu kwenye Uchaguzi huu, naomba Rais Magufuli aingilie kati suala hili na wagombea walioenguliwa wapewe nafasi ya kuteuliwa kugombea".

Profesa Lipumba ameendelea kwa kusema,"Kitendo cha kuwanyima fomu wagombea wa upinzani sio tu halina tija kwenye ukuaji wa Demokrasia, pia ni matumizi mabaya na hela za umma, huwezi ukafanya semina, kuchapisha nyaraka mbalimbali huku ukijua hakuna uchaguzi bali wagombea wanapita bila kupingwa".
profesa uchwara anakumbuka shuka kukiwa kumepambazuka?
 
Amewaambia waandishi wa habari au amemwandikia Mh. Raisi barua? Sidhani kama kuzungumza na waandishi wa habari ndio njia sahihi ya kuongea na serikali; barua itajibiwa kuliko matamko
 
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati suala la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile alichokidai ni kuepusha vurugu na matatizo kwenye uchaguzi huo.

Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika Novemba 24, 2019.

"Kuepusha suala la vurugu kwenye Uchaguzi huu, naomba Rais Magufuli aingilie kati suala hili na wagombea walioenguliwa wapewe nafasi ya kuteuliwa kugombea".

Profesa Lipumba ameendelea kwa kusema,"Kitendo cha kuwanyima fomu wagombea wa upinzani sio tu halina tija kwenye ukuaji wa Demokrasia, pia ni matumizi mabaya na hela za umma, huwezi ukafanya semina, kuchapisha nyaraka mbalimbali huku ukijua hakuna uchaguzi bali wagombea wanapita bila kupingwa".
Rubbish Propesa, alivyofanya kwenye CUF kukkabidhi kwako hivyo hivyo anafanya kwenye kukunyanganya ushindi (pampja na kuwa usingelipata hata kiti kimoja). Rubbish Propesa!
 
Back
Top Bottom