Chonde chonde.

Chonde chonde.

Tidito L

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
97
Reaction score
16
Walianza maji tukakubali kwa ahadi,wakaji umeme tukazoea,ikawa mafuta ikawa ni kuamka alfajiri kuwai foleni.
Chonde chonde msije mkaingia kwenye bia maana hizo ndo zinatupotezea mawazo.
 
duh! mkuu tidito hapo umenena, wakifika huko hatutaelewana kabisaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom