Iwe mawazo mgando au myeyuko, ishu hapa ni kutoingiza nnchi kwenye machafuko. Wakongo wako wapi tangu Mobutu aondoke 1997?
kwa yanayojiri libya, nguvu ya umma inaweza kuturudisha kwenye umaskini zaidi ya huu tulio nao. Uharibifu wa mali, uhalifu na kuuana hovyo ni mambo yanayopewa nafasi ya mbele. Kwa mnaopendekeza nguvu ya umma itumike kuondoa mafisadi, chonde chonde tusije ingiza nchi matatizoni kivita na kuwa wakimbizi, sijui tutakimbilia wapi manake kwa majirani zetu karibu kote ni instabilities.
Tanzania kisiwa cha amani nakupenda sana.
Iwe mawazo mgando au myeyuko, ishu hapa ni kutoingiza nnchi kwenye machafuko. Wakongo wako wapi tangu Mobutu aondoke 1997?
kwa hali tuliyo nayo ni bora tuingie gharama tuijenge upya nchi yetu hata hao waliofanikiwa walipitia kipindi kigumu. Huipendi nchi yako bwana!! Tusibweteke na maisha tuliyonayo.Kwa yanayojiri Libya, nguvu ya umma inaweza kuturudisha kwenye umaskini zaidi ya huu tulio nao. Uharibifu wa mali, uhalifu na kuuana hovyo ni mambo yanayopewa nafasi ya mbele. Kwa mnaopendekeza nguvu ya umma itumike kuondoa mafisadi, chonde chonde tusije ingiza nchi matatizoni kivita na kuwa wakimbizi, sijui tutakimbilia wapi manake kwa majirani zetu karibu kote ni instabilities. Tanzania kisiwa cha amani nakupenda sana.
Kwa yanayojiri Libya, nguvu ya umma inaweza kuturudisha kwenye umaskini zaidi ya huu tulio nao. Uharibifu wa mali, uhalifu na kuuana hovyo ni mambo yanayopewa nafasi ya mbele. Kwa mnaopendekeza nguvu ya umma itumike kuondoa mafisadi, chonde chonde tusije ingiza nchi matatizoni kivita na kuwa wakimbizi, sijui tutakimbilia wapi manake kwa majirani zetu karibu kote ni instabilities.

Ujinga ndo unakusumbua. Kwani hujawahi kuifisadi nchi hii kwa mkono wako au akili yako au kwa kunyamazia ufisadi au kusaidia? Anza na wewe mwenyewe kama kweli una uchungu kihivyo.Mawazo mgando!!! That is "Better the devil you know ..."
Wameshaanza kuogopa yanayotokea kanda ya Ziwa.
Muziki bado Leonardo, just wait and see.