Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
1:Hakikisha mtu unayoenda kuolewa naye au kuoa ni mtu sahihi kwako.
2:Afya ni kitu muhimu sana mkapime na ujiridhishe pasi na shaka kama ni buheri wa afya usije kujutia baadae.
3:Ndoa ni kuhusu mechi acha kabisa ule msemo wa kusema kufanya tendo mpaka mfunge ndoa inabidi mpige mechi kazaa kabla ya kukubali kuolewa naye au kuoa ili ujirizishe na utendaji kazi wake kunako sita kwa sita.
4:Mkague mapema kama makinikia(marinda) ya mwenza wako yapo salama ili kupunguza migorogoro na maneno utakapogundua kwamba rinda lake limeshatatuliwa.
Mengine ni kujiongeza tu ili usije ingia kwenye ule mtego wa ndoa na maumivu.
Nb;Shake well before Use..!