Chonde chonde mkuu kabla ya kuoa au kuolewa fanya hivi...

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
1:Hakikisha mtu unayoenda kuolewa naye au kuoa ni mtu sahihi kwako.

2:Afya ni kitu muhimu sana mkapime na ujiridhishe pasi na shaka kama ni buheri wa afya usije kujutia baadae.

3:Ndoa ni kuhusu mechi acha kabisa ule msemo wa kusema kufanya tendo mpaka mfunge ndoa inabidi mpige mechi kazaa kabla ya kukubali kuolewa naye au kuoa ili ujirizishe na utendaji kazi wake kunako sita kwa sita.

4:Mkague mapema kama makinikia(marinda) ya mwenza wako yapo salama ili kupunguza migorogoro na maneno utakapogundua kwamba rinda lake limeshatatuliwa.

Mengine ni kujiongeza tu ili usije ingia kwenye ule mtego wa ndoa na maumivu.

Nb;Shake well before Use..!
 
Sasa kwa nni unaliongea kuwa watarajiwa wawe waangalifu
Kuna mada ilikwekwa mkuu mshikaji analalamika kwamba mke wake anaiatji apigwe tigo couze mbele hapati Utamu couze alishazoea huo mchezo na mshikaji hakujua so ni utata afanyaje
 
Hapo kwenye kukagua marinda hebu tupe ujuzi ni namna gani tunaweza kukagua marinda kama yapo au yalishatatuliwa
 
1:Hakikisha mtu unayoenda kuolewa naye au kuoa ni mtu sahihi kwako.

2:Afya ni kitu muhimu sana mkapime na ujiridhishe pasi na shaka kama ni buheri wa afya usije kujutia baadae.

3:Ndoa ni kuhusu mechi acha kabisa ule msemo wa kusema kufanya tendo mpaka mfunge ndoa inabidi mpige mechi kazaa kabla ya kukubali kuolewa naye au kuoa ili ujirizishe na utendaji kazi wake kunako sita kwa sita.

4:Mkague mapema kama makinikia(marinda) ya mwenza wako yapo salama ili kupunguza migorogoro na maneno utakapogundua kwamba rinda lake limeshatatuliwa.

Mengine ni kujiongeza tu ili usije ingia kwenye ule mtego wa ndoa na maumivu.

Nb;Shake well before Use..!
Shake Well per each dose
 
Ndio maanake mkuu kumbe we umeliona hilo wengine wataishia kusoma tu hawataelewa
Mimi siwezi kukubali kuwa na mwanamke kwenye uhusiano tuacha kut@mb#@na eti mpaka siku tunaoana/kufunga ndoa

Kuna jamaa yangu alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na binti fulani hivi.

Uhusiano wao ulidumu kwa miaka miwili bila kugegedana

Walifanikiwa kuzuia hisia zao pindi walipokuwa wanakutana/kuonana

Siku ya siku wakafunga ndoa

Aiseeee!!siku ya mugegedo kilichotokea kwa mujibu wa maelezo ya jamaa yangu ni aibu kwa kweli japo ndo ilikuwa ndo bhasi tena hamna namna.

Jamaa alikuwa anaelea tu kunako
 
HA HA HA HA HA HA HA
 
Back
Top Bottom