Amani iwe nanyi nyoote!
Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo
. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na
kukandia mada ya mwenzake analeta yake ya
kijinga zaidi,mfano mtu anadai anamatatizo
na haucgeli wake au mchumba wake! swali
linakuja,hivi hatujui kuwa kuna utofauti wa
kimawazo,kifikra na kiakili kati yetu sisi
wanadamu!? yani,lililokubwa kwako si lazma
mwengine alione kubwa and viceversa! km
kuwa great thinker ni hivi,nadhani hii maana
itolewe ufafanuzi zaidi.
tafadhali tutambue tofauti zetu na tuheshimu mawazo na shida za mtu mwingine hata kama ni za darasa la 2 kwa wengine! nawasilisha....