Amani ni tunda la haki.Akina Mandela na Steve biko wangeendelea kuitii malaka ya Makaburu hadi leo hii sijui wangekua wapi..
Dunia Ingeendelea kutii Mamlaka ya Adolf Hitler na Hegemony ya chama chake cha NAZI sijui leo Dunia ingekuaje!
Hata mitume na Manabii wa dini zote walilazimika kupambana na mamlaka zilizokuwepo ili kuleta haki na ukombozi kwa watu.Itumie mishafu vizuri
ndugu yangu waache tu nakumbuka lecturer wangu wa ds aliniambia wanaoandamana daima ni wale wasiokuwa na cha kupotezai need to research on the rest, lakini bila shaka yoyote ile, mussa na shadrak, meshak na abelnego walikuwa ni watumwa katika hayo mataifa, issue ya daudi haina uhusiano na hii mada kwa sababu goriath hakuwa na mamlaka juu ya daudi, tena umuombe radhi huyu mtu, sababu kama ni uhasi angemfainyia sauli so many often na hakuthubutu achilia mbali vimbwanga vyote alivyofanyiwa.
BIBLIA ipi unayoisemea?? Kwani kama ni Biblia Takatifu inasema pia kwamba Si Kila Mamlaka yatoka kwa MUNGU!!Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza.
Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
Vurugu zipi hizo?MKUU tatizo vurugu
mkuu haki ipi unajua tanzaniaa siku zote ina bahati ya kupata viongozi wapole na wasikivu hv tunaonewa na nini sisi?? mamlaka hii hata mbowe ameikubali na hata ikulu walienda kumwangukia rais sasa napata shida na kauli zakoBIBLIA ipi unayoisemea?? Kwani kama ni Biblia Takatifu inasema pia kwamba Si Kila Mamlaka yatoka kwa MUNGU!!
Pia Biblia inasema MSIZIAMINI Kila Roho,kwani zingine zatokana na Yule Adui!!
Sasa unasema CDM watii Mamlaka!! Je ni kweli Mamlaka yale yanatoka kwa Mungu?? Je Mamlaka hayo ni kwa CDM tu wakitaka Kuandamana, lakini Wakiandamana CCM,ni MATEMBEZI!!
Mungu anapenda Haki.Amani haidumishwi kwa Mtutu wa "BUNDUKI"babi Amani ni Tunda la Haki, hakuna sababu ya kuhubiri kila siku Amani, Amani!!
Ukitenda Haki Amani inajihubiri yenyewe, Na nikuambie tu kwamba Haki haiombwi bali hudaiwa,! ikiwa Kuandamana ni haki kikatiba basi Lazima tuandamane.
Kazi ya Polisi ni kulinda waandamanaji na sio kutoa kibali au kuto kutowa!!
Ila policcm,hawajui hayo wanajipa Mamlaka wasiokua nayo.Maadhimisho ya sijui mika 36,ya CCM na Ufisadi yalifanyikia sehemu mbalimbali nchini yalikua na Maandamano lakini hatukusikia Policcm,wakiingilia pamoja na kwamba hakukuwa na Vibali!!
HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI, KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza.
Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
hivi kama bwana yesu ananipa mkate wa kila siku niandamane kwa nini??
mkuu haki ipi unajua tanzaniaa siku zote ina bahati ya kupata viongozi wapole na wasikivu hv tunaonewa na nini sisi?? mamlaka hii hata mbowe ameikubali na hata ikulu walienda kumwangukia rais sasa napata shida na kauli zako
hahahaha mkuu umenikuna sanaBasi kalale sisi tutaandamana kuwaletea uhuru/ ukombozi wa pili hata Uhuru wa mwaka 1961 haukupiganiwa na wa Tanaganyika wote, wasaliti kama wewe waliojipendekeza kwa wakoloni kama unavyojipendekeza wewe kwa wakoloni ccm pia walikuwepo. Kasubiri neema makamanda tutailetu si mda mrefu.
basi huo wokovu ulikuwa incomplete ama wokovu fake.wokovu gani hao jamaa wanaishi kwa hofu wamejilundikia maslaha ili kuwaweka salama na wamejijengea maukuta ili wabaki salama .ahadi za wokovu fake wa dizaini ya akina slaa hauwafai
mkuu mtu mwenye akili timamu hata siku moja hawezi shabikia mambo yanayoweza hatarisha amani ya nchiNadhani umeongea kinyume mkuu, kwa sababu wenye hofu ni watawala(CCM) walioko madarakani hivi sasa, na hofu yao kubwa ni kunyang'anywa mamlaka, kwa kuwa hawana uhakika juu usalama wa maisha yao pindi watakapokuwa wamenyang'anya mamlaka.
Wanaojirundikia mali ni CCM ndio maana wamekwenda kuzificha Uswiz wengine wanasema ni vijisenti, wameuza wanyama wetu, madini yetu na sasa wanaitaka gesi yetu.
Marejesho wanayotuletea wananchi ni NETI na CONDOM
Dr Slaa hana hofu wala woga wa aina yoyote ndani ya moyo wake, alishasema amewahi kutishiwa uhai mara 3 ya uhakika ila hajatetereka na bado anaendelea na mapambano.