Chonde chonde chama changu CHADEMA


Halafu free riders kama wewe ndo wankuwaga vihere-here kula matunda ya Uhuru, tunaandamana, hutaki-acha.....nipo Dodoma naja na famlia yangu kwa ajili ya maandamano tu.....
 
Ole wako umlaghai aende kwenye hayo matembezi yenu yasiyokuwa na kichwa wala miguu halafu apigwe na kitu chenye ncha kali. Nitakufuata unipe "chakula cha usiku".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
haina shida ni matembezi ya mshikamano Kama Alivyofanya Yule jangili yenu kinana huko kigoma
 
haina shida ni matembezi ya mshikamano Kama Alivyofanya Yule jangili yenu kinana huko kigoma
matembezi ya wenzetu CCM yanakuwga ya amani hazodolewi mtu wala kusongwa bsongwa sasa nyie hayo yenu yamebeba dhana nzito
 
Mkuu kwani lazima uje kuandamana si ubaki tu na mkeo na wakwe zako home mutazame nyimbo za diamond na mzee yusuph?
Pia ikiwa ni CHADEMA mnasema ni maandamano lakin kama ni maCCM na maCUF mnasema ni matembezi ya mshikamano..du......

Mkuu Kanyenye, Ipuli, Neshino, Kwa Bachu, Isevya n.k yatufaa tuandamane kupinga ''-----'' wa Aden Rage
 
Huyu baadae mambo yanaponyooka ndiyo wa kwanza kufurahia kabla ya walioyanyoosha kuanza kufurahi
who brought uhuru in kenya?? dedan kimathi or jomo kenyata????
 
mkuu SPIKA anafuata kanuni huwezi unalotaka wewe litendeke bila kuzingatia maslahi ya umma pamoja tujenge chama chama hujengwa kwa hoja si maandamano

Eti wanawaiga misri na Tunisia..hiyo kauli mbiu ya people power ni propaganda na brainwashing za nchi za magharibu ili kuvuruga stability ya nchi za kiarabu ili ziendelee kuwa weak na kuwategemea wao na hivyo wao wazungu wapate access ya resource kiulaini.
Nao akina saanane ndo wanatuletea hapa.
It is a well known tactics for them to start what appear as a peacefull demonstration or protest and when the government dont interfere it spread.by the time the government start cracking it turn into civil disorder and then into insurgent and then full rebellion disguised as a MOVEMENT OF,BY and FOR THE PEOPLE.
By that time foreign groups are busy pumping in financial support and even weapons to increase the unrest while they get contract to control our resource.
By the time people are beginning to ask themseleves what is real happening,people are busy killing each other and some are fleeing the country.THAT IS Kind of Bullsh*t people like saanane are preaching.
And am pretty sure by the time things cool down,those responsible for starting it will be loong dead,or living in europe or so old they wear adult diapers and are spoonfeed from a blender.
 
Halafu free riders kama wewe ndo wankuwaga vihere-here kula matunda ya Uhuru, tunaandamana, hutaki-acha.....nipo Dodoma naja na famlia yangu kwa ajili ya maandamano tu.....
maandamano si shida ila polisi wameshakataa tuwe waungwana wa kutii sheria bila shuruti
 
you really touch my soul
 
Ben Saanane; Mitume na Manabii gani walipambana na Mamlaka zao/zipi?

Kumbuka Musa chini ya utawala wa farao kule misri, kumbuka shadrak meshak na abelnego mpaka wakatupwa kwenye tundu la simba, kumbuka mtume S.A.W alikuwa akipigania kuhusu nn, kumbuka JIHAD ya west Africa under Abdallah Bello na Hajj Umar, Kumbuka Daudi na Goliath, kumbuka Yehoshafati wa yuda na jeshi lake, Kumbuka yoshua na waisrael pale yericko and so on..........................
 
haina shida ni matembezi ya mshikamano Kama Alivyofanya Yule jangili yenu kinana huko kigoma

Bora Kinana anayeua Tembo kuliko nyie mnaotaka sisi tufe kwa kurushiwa vitu vyenye ncha kali kwenye hayo matembezi yenu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maandamano ya Amani, kwa nini msifanyie huko Dodoma karibu na Bunge?. Mnakuja Temeke kwa Mtatiro!, tena karibu kabisa na Kituo kikubwa cha Polisi?. mie nasubiri kuwaona wale watovu wa nidhamu bungeni wanavyomwagiwa maji ya washawasha. Kama ni kufikisha malalamiko kwa wananchi, mbona tayari tumeshajionea jinsi Spika na msaidizi wake wanavyokilinda chama chao na serikali?. nadhani ingekuwa vizuri kama CDM na NCCR wangetafuta hoja za kuwang'oa hao maspika huko Bungeni.
 

basi huo wokovu ulikuwa incomplete ama wokovu fake.wokovu gani hao jamaa wanaishi kwa hofu wamejilundikia maslaha ili kuwaweka salama na wamejijengea maukuta ili wabaki salama .ahadi za wokovu fake wa dizaini ya akina slaa hauwafai
 
Mkuu kwani lazima uje kuandamana si ubaki tu na mkeo na wakwe zako home mutazame nyimbo za diamond na mzee yusuph?
Pia ikiwa ni CHADEMA mnasema ni maandamano lakin kama ni maCCM na maCUF mnasema ni matembezi ya mshikamano..du......
naguswa na nafsi zilizojeruhiwa
 
Mkuu wewe mbona muoga sana wa maandamano kuna nini kwenye maandamano? au waogopa vitu vyenye ncha kali? bora kupambana tu mpaka kieleweke kwani hawa CCM hawana tofauti na wakoloni labda tofauti ni kwa kuwa wao ni weusi.
 
Bora Kinana anayeua Tembo kuliko nyie mnaotaka sisi tufe kwa kurushiwa vitu vyenye ncha kali kwenye hayo matembezi yenu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwani ni watu gani wanarusha vitu vyenye ncha Kali Kama sio polisiccm?
 
MTATIRO anaimiliki TEMEKE????
 
mkuu wewe mbona muoga sana wa maandamano kuna nini kwenye maandamano? Au waogopa vitu vyenye ncha kali? bora kupambana tu mpaka kieleweke kwani hawa ccm hawana tofauti na wakoloni labda tofauti ni kwa kuwa wao ni weusi.
hivi kama bwana yesu ananipa mkate wa kila siku niandamane kwa nini??
 

I need to research on the rest, lakini bila shaka yoyote ile, Mussa na Shadrak, Meshak na Abelnego walikuwa ni watumwa katika hayo mataifa, Issue ya Daudi haina uhusiano na hii mada kwa sababu Goriath hakuwa na Mamlaka juu ya Daudi, tena umuombe radhi huyu mtu, sababu kama ni uhasi angemfainyia sauli so many often na hakuthubutu achilia mbali vimbwanga vyote alivyofanyiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…