Chombo gani cha usafiri kati ya hivi kinatumia mafuta mengi zaidi?

Kwa speed & pulling, treni ni zaidi kwani njia yake inahusisha milima na mabonde ikiwa na mzigo mkubwa!

Treni haipandi milima mikali, ndiyo mana mlimani reli inachimbwa mahandaki, treni inapita chini.
 
hili swali limeletwa kwenu kwa msaada wa watu wa marekani ili kutusanif wa Tz..dah
 
Jogoo katisha ,kaona vile mafuta yanapanda bei kaamua kutengeneza ya kwake ,anawawikisha watu na JOGOO HALISI ( KIROBA)
 
kichwa cha tren tena zile za TZR, kikiwa kimekamilika uzito wake tan 120 na huvuta mzigo tan buku kama hakina matatzo lakin, kuhusu mafuta tank yake inaujazo wa lita 8500, kwahayo mafuta inasemekana cna uhakika lakin, yana anzia mbeya to dar halafu dar mpaka kapili pia wamasema yanarud tena mbeya ndo huwekwa mengine....
 
mkuu lita 8500?
 
Back
Top Bottom