Hamas hawajamuua Joshua hizo ni propaganda za Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Ni kichaa tu anaweza kuamini ile video ya kuungaunga

Kwanza mtu anarekodi huku mtu anauawa live halafu tunaambiwa ni Hamas!

Halafu Israel mwanzoni walituambia watanzania walikua ni mateka wa Hamas

Baadae wakasema wana taarifa za uhakika kuwa watanzania wapo Gaza

Sasa baada ya balozi wa Palestini kuhojiwa Clouds hiyo video nayo ndo inatoka

Watu wanashindwa hata kuconnect dot kuwa hiyo video ni nani alikua nayo siku zote na kwanini haijaachiliwa?

Tunashupaza shingo kwa kuamini kuwa ni Hamas wameua huku habari ikitoka kwenye media ya Serikali ya Israel

Kama waliweza kuwauawa Raia wao kwa Apache October 7 na kuteketeza mamia pale pale watashindwa vipi kutengeneza uwongo kama huu, Huenda na naamini kuwa Joshua aliuawa na Israel yenyewe na sio Hamas!! Taifa linaloweza kuua raia wake wenyewe kikatili vile watashindwa vipi kumuua mtu kama joshua ukizingatia joshua sio mwisrael mwenzao!!

Jiulize hiyo video walikua wapi siku zote hadi ije kutoka leo

Ukifatilia ile video utagundua kuwa Ile video hawakua ni Hamas na mazingira yenyewe yana utata!!

Tuwe makini tusiwe sehemu ya propaganda na mihemko!!
 
Brainwashed idiot.
 
Tuoneshe proof kwamba wale sio Hamas ni propaganda za Israel. Naona unaandika utumbo kutetea ugaidi
 
Back
Top Bottom