Chombezo: John Mzee wa Kulenga

Mzeee si uitume yotee watu wa faida ? Una rusha kwa Maringo sanaa
 
*JOHN MZEE WA KULENGA*

*Sehemu ya Nne*


John alimshikilia vizuri Jamila, hakutaka kumuachia kwani kama kumsubiri alimsubiri mno kwa kuhusu embe bado lilikuwa bichi kumbe tayari liliiva na lilisubiri kutunguliwa tu.
Kila alipokuwa akimshika msichana huyo, alikuwa akipiga kelele tu, alichanganyikiwa, hakuwahi kushikwa na mwanaume kama alivyokuwa akishikwa, kwake, hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza na ilimchanganya kupita kiasi.
John alijua kila kitu kuhusu mapenzi, aliking’ang’ania kifua cha msichana huyo, alihakikisha dodo zake zinakuwa mdomoni na kufanya kila alichotaka kufanya.
Ni mgumo na kelele za msichana huyo ndizo zilikuwa zikisikika tu. Wakati John alipokuwa amekwenda bafuni kumfuata Jamila, mama Halima alisikia kabisa, naye hakutaka kuchelewa, alimjua John, alikuwa mwanaume hatari, kwa watu wa mpira tungesema ‘Mzee wa Ndani ya Kumi na Nane’.
Hakuwa na mchezo hata kidogo. Mwanamke huyo alipofika huko, akajibanza na kuanza kusikiliza kilichokuwa kikiendelea humo ndani.
Pilipili ilikuwa ya shamba lakini hata yeye ikaanza kumuwasha, pale nje alipokuwa, naye akaanza kujishika huku na kule, alisisimka mwili mzima, alikuwa na hamu kwani hata mume wake hakuwepo Dar es Salaam.
Alitamani kuingia ndani na kuwaambia naye alitaka lakini alishindwa. Masikio yake yalikuwa makini kusikiliza kilichokuwa kikiendelea humo ndani kana kwamba mwisho wa siku kulikuwa na maswali.
“John...John....” aliita Jamila, alilegea, ilikuwa ni zaidi ya dakika tano za kushikwa hapa na pale, na tena aliamua kumuita baada ya kuona jamaa ameanza kufungua zipu ya jinzi yake.
“Kuna nini?” aliuliza John.
“Tufanye siku nyingine...naomba siku nyingine, sijawahiiiiiiii,” alisema Jamila huku akilia kimahaba mahali pale.
John hakutaka kukubali, alichanganyikiwa, kumuacha Jamila kwake lilionekana kuwa kosa kubwa mno, hivyo alitaka kupambana mpaka kuhakikisha anakula mambo yake.
Jamila aliogopa, hakuwahi kufanya mapenzi, ni kweli alitamani sana lakini kwa siku hiyo alikuwa na hofu kupita kawaida. Akaibana miguu yake, alitumia nguvu nyingi kiasi kwamba John mwenye akachoka.
“Kwa hiyo lini sasa?” aliuliza John, kwa jinsi alivyobaniwa miguu mpaka akachoka.
“Keshokutwa!” alijibu Jamila.
John hakutaka kubaki chooni humo, kwa jinsi alivyomshughulikia msichana huyo alijua tu asingeweza kuzingua hata kidogo. Akaelekea chumbani kwake huku mama Halima akiwa amejibanza pale pale na alilowa kupita kawaida.
Naye akaondoka mahali pale. Akaelekea chumbani, hakukulalika, alichanganyikiwa. Zile kelele zilimpagawisha na muda wote alikuwa akijishika chini ya kitovu.
Siku hiyo alitamani sana kuwa na mwanaume kitandani hapo, alitamani kuwa na mchepuko, muda kama huo angeufuata na kumridhisha nafsi yake.
Alikaa chumbani humo huku akiendelea na mchezo wake wa kutalii mwili wake mpaka majitra ya saa saba, akashindwa kuvumilia kabisa, maji yalimfika shingoni, na kama angekuwa mwanaume basi tungesema alifikia ile hatua ya kubaka mpaka mbuzi.
Kwa nini apate shida na wakati John alikuwepo, tena peke yake na alikuwa akisifika kwa kuwashughulikia wanawake vizuri? Hakutaka kujiuliza, akatoka kuelekea humo.
Wakati huo John alikuwa chumbani kwake, alichanganyikiwa, mwili wake ulipagawa kupita kawaida. Alijilowanisha mno na ili kupunguza machungu akaamua kuingia Instagram na kuangalia picha za wanawake walizokuwa wamepiga nusu utupu.
Huko akakumbuka kulikuwa na wasichana wengi ambao walikuwa wakimfagilia kwa sababu tu alipiga picha na gari lake, akiwa kwenye hoteli kubwa akila vinono, hivyo akaanza kumchombeza mmoja, alifanya hivyo kwa kuwa aliamini kwa hali aliyokuwanayo ingekuwa rahisi sana kutumia ujuzi wote.
“Lilian...” aliandika kwenye insta direct. Baada ya sekunde kadhaa ikajibiwa.
“Niambie mzee wa bata!”
“Nipo poa! Unakumbuka hukunipa namba yako na wakati nilikuomba sana,” aliandika John.
“Sikukupa?”
“Ndiyo!”
“Basi subiri nikupe...” aliandika msichana huyo na kumwandikia namba hiyo.
“Asante sana. Naweza kukuona kesho?”
“Kesho? Mh!”
“Hiyo mh ni ndiyo au hapana?”
“Nitaangalia kwani naweza kwenda Jangwani Sea Breez...”
“Nitakutafuta hukohuko! Ila nimeipenda hiyo nguo yako ya ndani!” aliandika.
“Umeiona wapi?” “Instagram kwenye ile video iliyokuwa laivu. Imekupendeza sana, ndiyo ugonjwa wangu huo,” aliandika.
“Halafu John bwana!”
“Niruhusu basi hata siku moja.”
“Nikuruhusu nini?”
“Japo na mimi nikusaidie kuivua mwilini mwako jamaniiiii! Hivi huoni kazi kila siku kuivua mwenyewe?” aliuliza.
“Hahaha! Mtoto chizi sana wewe!”
“Niambie bwana! Nikusaidie kesho!”
“Kesho? Mh!”
“Si tukitoka huko Sea Breez?”
“Tutaangalia! Utanifuata na gari lako?”
“Kabisa!”
“Basi sawa. Nitakuruhusu!” alijibu msichana huyo kitu kilichomfanya kuchanganyikiwa zaidi.
Kwa jinsi alivyokuwa akichaati na wanawake na kukubaliwa harakaharaka ilionekana kama kazi nyepesi hiv kumbe ilikuwa ni ngumu ile kishenzi. Wakati akiendelea kuangalia picha za slay queens wa humo, mara akasikia mlango wake ukigongwa, kwa jinsi ulivyogongwa haikuwa kawaida, ni kama mgongaji aliogopa sauti ya ugongaji isisikike.
Kilichomjia kichwani ni Jamila tu, akakurupuka na kwenda kuufungua. Macho yake yakatua kwa mama Halima ambaye alimsukumia ndani kidogo na kuingia.
“Kuna nini?” aliuliza John, alishtuka mno.
“Ulikuwa unafanya nini bafuni na kale katoto?” aliuliza mama Halima.
“Jamani! Kwani nilikwambiaje?”
“Hebu sogea hapa kwanza,” alisema mwanamke huyo.
Siku hiyo ilikuwa ni tofauti na siku nyingine, alichanganyikiwa kupita kawaida, mwili wake ulikuwa kwenye hali ya hatari kupita kawaida.
Akamvuta John kitandani, alivalia kitenge kilichofungwa kuanzia kifuani mpaka chini lakini kwa ndani hakuwa na nguo yoyote ile.
Ni kama John alikuwa anaota, alimwangalia mwanamke huyo, jinsi alivyokuwa, mapaja yake manene na meupe, alishindwa kuelewa kama alikuwa siriazi kweli kumletea mzigo au alikuwa akimbipu tu.
“Kuna nini?” aliuliza John.
“Na mimi nataka!” alijibu mama Halima.
“Mama Halima! Unase...” alisema lakini hata kabla hajamalizia sentensi yake, akawekwa kitandani, mwanamke huyo akatoa kitenge chake na kubaki kama alivyotoka kwenye tumbo la mama yake.
Macho ya John yakatua kwenye kiuno cha mwanamke huyo, kulikuwa na shanga kama kumi na mbili, akachanganyikiwa, hakuamini kama mzigo huo leo ulikuwa ndani kwake na alitakiwa kuufanyia kazi ipasavyo.
Hakutaka kuremba, hakutaka kuchelewa, kwa jinsi mwanamke huyo alivyoonekana tu, alionekana kuwa na uhitaji wa kukatwa kiu yake, hivyo akaanza kushughulika naye.
Mwanamke mtu mzima, aliyeshindwa kuvumilia akajikuta akianza kuvunja amri ya sita na kijana mdogo ambaye siku nyingine alikuwa akimuunganishia mademu wengine.
John alijua kucheza na mijimama kama mama Halima, alikuwa mzoefu kwa watoto mpaka kwa watu wazima, kitu cha kwanza kabisa kilikuwa ni kutafuta mahali ambapo ilikuwa ni hatari mwili mwa mwanamke huyo.
Alijaribu shingoni kama kawaida yake, hakuambulia kitu, akaenda sikioni, hakukuwa na kitu chochote kile, akaenda chini ya kiuno, napo hakukuwa na kitu, akaenda kwenye kitovu napo hakukuwa na lolote lile.
Alichanganyikiwa, wakati mwingine alikuwa akijiuliza kama mwanamke huyo alikuwa roboti ama la. Hakutaka kuishia hapo, aliendelea kufanya upelelezi wake katika mwili wa mama Halima.
Akaenda chini zaidi, alipofika kwenye vidole vyake, hasa kidole gumba, akasikia mwanamke huyo akipiga uyowe.
“Ooooh! Aishiiiiiiiiiiiiiiii...huuuuuuuuuu...” alipiga uyowe wa mahaba.
“Nimekupata!” alisema John, sasa akajiweka bize na eneo hilo matata.

*Je, nini kitaendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Weka episode zingine mzee baba
 


Vp hadithi ndio imeishia hapa ama ? Mambo gani haya ya kutiana genye
 
*JOHN MZEE WA KULENGA*

*Sehemu ya 05*


Mama Halima lilikuwa jimama linalojiweza, lilikuwa na shanga kama zote, hakuwa mvivu kama wanawake wengine wanene, lilikuwa likijituma hasa.
John alikuwa bize na vidole vyake vya miguuni, alimkuna hasa na hakutaka kuondoka mahali hapo, alifanya kila linalowezekana kulipagawisha jimama hilo kiasi kwamba lilizidi kulalamika lilikuwa likikaribia kufika kileleni.
Hilo ndilo alilolitaka John, alijua kabisa mama Halima asingemuweza kutokana na mwili wake kuwa mkubwa, ilikuwa ni lazima aanze kucheza pembeni kabla ya kumkabili na kuanza mambo.
Mwanamke huyo alilegea, alikuwa hoi na kitu kilichokuwa kusubiriwa ni kuanza kwa mechi tu. John aliwapanga wachezaji wake vizuri, aliwaambia walitakiwa kufanya majukumu yao uwanjani kwani asingeweza kuwapa maelekezo zaidi.
Mechi ikaanza rasmi. Wachezaji wa pembeni walikuwa hatari, waliweza kupeleka mashambulizi kwa adui, muda wote walikuwa bize kiasi kwamba timu pinzani ya mama Halima iliona kabisa inazidiwa.
John hakuridhika, alikuwa mtu hatari sana eneo hilo, alijua kumchambua mwanamke kama karanga, alimbeba na kumvuta huku, akampeleka kule na kupeleka mashambulizi ya ghafla.
Mama Halima alijua kucheza michezo ya aina yote lakini ya kijana huyo ambaye damu yake ilikuwa ikichemka alikuwa balaa kwani alijua kupiga engo zote na kumfanya kuwa hoi.
“Utaniuaaaa...aishiiiii...” alilalamika mama Halima.
John hakutaka kuacha, alikuwa na pumzi ya kutosha tu hivyo alikwenda naye kwa saa mbili ndipo akamuacha. Mwanamke wa watu alikuwa hoi, hamu yote ya kufanya mapenzi ikamuisha na kujisikia akiwa mwepesi kabisa.
Haraka haraka akainuka na kuanza kuivaa khanga yake, hata kumwangalia John machoni alikuwa akijisikia aibu kwani alihisi kwamba asingeweza kufikishwa alipokuwa akielekea lakini kitu cha ajabu kabisa, akapitilizwa mpaka kituo chake na kupelekwa mbali kabisa.
“Kumbe ndiyo maana mademu hawakauki chumbani kwako,” alisema mama Halima huku akimwangalia John kwa jicho la ‘Siku nyingine nataka tena’
“Kawaida tu! Hivi ulijifikiria nini mpaka ukaja chumbani kwangu?’ aliuliza swali John.
“Hakuna kitu!”
“Ulizidiwa sana? Ila angalia sitaki uwe na wivu wako,” alisema John na kumfanya mama Halima kucheka na kutoka kuelekea chumbani kwake.
John hakubaki chumbani, aliondoka na kuelekea bafuni kuoga, alipomaliza akarudi chumbani na kitu cha kwanza kabisa kilikuwa ni kushika simu yake.
Akakuta meseji kibao kutoka kwa mademu zake ila ya demu ambaye aliipenda sana ni kutoka kwa Penina. Msichana huyo alimtumia meseji kama tatu hivi na ilikuwa ni usiku sana, majira ya saa nane na nusu lakini bado msichana huyo alionekana kuwa online.
“Mambo John!”
“Upo kimya?”
“Mbona hata kwenye group sijakuona leo?”
Hizo zilikuwa meseji tatu ambazo alitumiwa kutoka kwa msichana huyo. Hakutaka kuchelewa, alikwishajua ni kitu gani msichana huyo alihitaji, ila kwa sababu alimtambia kwamba alikuwa mtoto wa kishua, hakuwa msichana wa kumuingilia kizembe kama alivyofanya kwa mademu wengine.
“Leo hulali?” aliuliza John, hapohapo akaona Penina akiandika.
“Nakusubiri wewe tulale wote...” alijibu msichana huyo na kumalizia na emoj za kucheka.
“Nimekuja mama watoto! Unaendeleaje na hali?”
“Naendelea vizuri!”
“Nimeipenda profile yako! Umependeza sana, yaani ni kama umeshushwa kutoka Mbinguni, mtoto tumbo limeingia ndani, kitovu kwa mbali kinaonekana,” aliandika John.
“Uwiiiiiiiii...wewe kaka utaniua!”
“Penina! Kitovu ndiyo ugonjwa wangu! Nahitaji sana nikinyonye hicho chako,” aliandika John.
“Wewe...utanizibua masikio mwenzako!”
“Penina! Serious! Yaani siku ukiingia mikononi mwangu, nakuahidi hautojuta!”
“Kwani utafanyake?”
“Nitaanza kukuweka kitandani, nitakuja shingoni mwako na kukulamba kama paka...” aliandika John.
“Halafu?”
“Nitaendelea kwa dakika kadhaa halafu nitashuka chini kidogo mpaka kifuani, hizo dodo zitanikoma. Nitaziweka mdomoni mwangu halafu kuuachia ulimi ufanye kazi yake,” aliandika John.
“Mmh!”
“Kazi yangu kubwa itakuwa ni kuzichezea hizo nipples zako! Yaani nitakula nazo sahani moja,” aliandika.
“Halafu!”
“Nitakuvua nguo zote na kukuacha mtupu...halafu nitakugeuza ulalie tumbo nianze kukulamba kila kona...”
“Mh! Halafu...”
“Nitaanzia shingoni kwa nyuma, nitashuka mpaka mgongoni, halafu nitakwenda mpaka kwenye hiyo milima miwili na kuanza kuilamba nayo, halafu nitasogea katikati ya milima na kuendelea kufanya kazi yangu...” aliandika John, huko alipokuwa Penina akasikia msisimko wa ajabu kwani alikuwa akivuta picha kilichokuwa kikisimuliwa.
“Mmh! Yaani katikati ya milima yangu?”
“Yeah! Tena wakati huyo nitakuwa na pipi kifua kwa ajili ya kukuletea ubaridi...yaani utasikia baridiiiiiiiiiii...” aliandika John.
“Aishiiiii...John utakuwa huioni pepo! Utakuwa humuoni Mtume, hebu acha hayo mambo yako!” aliandika Penina.
“Penny! Naomba uniruhusu!”
“Ili uje katikati ya milima yangu?”
“Ndiyo! Nataka nikupe raha ambayo haujawahi kuisikia hata siku moja! Yaani nitahakikisha mpaka panakuwa pasafiiiiiiii...”
“Hapana! Umenishinda tabia, naomba nilale...”
“Penina!”
“Usiku mwema. Bye...” aliandika Penina na kutoka online.
Upande wa pili Penina alichanganyikiwa, alizima data na kuanza kuzipitia zile meseji za John alizokuwa amemuandikia, kila alipokuwa akiziangalia, alihisi mwili wake ukisisimka, alijishika huku na kule, alipoona haridhiki, akavua nguo zake zote na kulalia tumbo, alichokifanya ni kuanza kuipitisha mikono yake katikati ya milima yake mikubwa kwa nyuma.
Alichanganyikiwa! Kichwani mwake kukaja picha nyingine kabisa, huyo John alihisi alikuwa mtu wa Mombasa, na kama siyo basi alikulia sana visiwani Zanziabar ambapo michezo kama hiyo ilisemekana kuchezeka kila kona na kwa asilimia tisini ya mabinti.
“Mh! Huyu John! Anachokiandika ndicho atakachokifanya au ananizuga tu?” alijiuliza.
“Ngoja nitaomba siku nionane naye kwenye simu kwa video call halafu aniambie vizuri! Kanipagawisha, sijui nimpe? Ila nikimpa ataniridhsha? Ila atanifanyia kama alivyoniambia? Hivi nikimpa hatonogewa? Mh! Yaani nimvulie John, anilambe atakavyo, halafu aupeleke, jamaniiiii! Mh! Nimpe ama?” alijiuliza pasipo kupata majibu, moyoni mwake tu alisikia kasauti ka chini kakimwambia “Mpe tu! Apige, mshikaji fundi ile kinoma, atapiga mpaka uchanganyikiwe....”

*Je, nini kitaendelea?*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama kawa John anaandaa mazingira ya kumla jicho mtoto wa watu..
 


Mzee tupia hata nyuzi tatu kuliko kutupia kimoja kimoja.... watu una wacha na hamu banaa
 
Mzee vp mbona kimya ? Rusha basi hata sehemu tano ndio upotee ...ama tuambie unaichukulia wapi tuifate wenyewe
 
*JOHN MZEE WA KULENGA*

*Sehemu ya 06*



John aliendelea kuwa mzee wa totozi, mara kwa mara kila wikiendi ilikuwa ni lazima kutoka na kwenda sehemu mbalimbali kwa ajili ya kutafuta mademu.
Ilikuwa ni hivyo, aliwachukua washikaji zake na kuondoka kuelekea Jangwani Sea Breez (kabla haijavamiwa na watoto wa uswahilini) kutafuta mademu tu. Huko, alikuwa akiwapata wengi kutoka Mbezi Beach ambao walikwenda huko kuogelea au hata kufanya mambo mengine.
Kwa John na washikaji zake kila walipokuwa wakienda, hawakurudi mikono mitupu, walirudi na mademu waliokuwa wakihitaji lifti au hata namba za simu ambazo walizifanyia kazi ipasavyo.
Wikiendi ya siku hiyo waliamua kwenda huko kama kawaida. Muda wote ndani ya gari walikuwa wakizungumzia kuhusu wanawake tu, ni nani alikuwa fundi, yupi alikuwa mtamu zaidi ya wengine.
“Jamani kuna yule demu anaitwa Farida mnamkumbuka?” aliuliza Idrisa, mmoja wa marafiki zake.
“Yupi?”
“Yupi?” aliuliza John huku akiendesha gari.
“Yule demu kama Mpemba hivi! Nilimpata siku ile kule Kigamboni,” alijibu jamaa.
“Yeah! Yule ana mwili kidogo na tako la kuvutia?”
“Yeah huyohuyo!”
“Amefanyaje?”
“Yule demu mtamu ile kinoma!” alisema Idrisa kitu kilichomfanya John kupunguza mwendo kwani alihisi kwa stori walizokuwa wakipiga, wangeweza kupata ajali.
“Acha masihara!”
“Sure! Yule demu ni noma. Mpemba wa kwanza anayejua mambo. Dogo anapiga blowjob za maana aisee,” alisema Idrisa.
“Duuh! Vipi kuhusu anal, anaperform?” aliuliza Dotto, rafiki mwingine wa John.
“Hahaha! We jamaa fala sana,” alisema Idrisa na wote kuanza kucheka.
Waliendelea kupiga stori za mademu tu, kila mmoja alikuwa bize kuwazungumzia wanawake ambao alitembea nao. John naye hakutaka kubaki nyuma, aliwahadithia wenzake jinsi alivyokuwa akiwafunua wanawake mbalimbali mtaani, huko WhatsApp na Instagram.
Kila mmoja humo ndani alikuwa balaa, hakukuwa na mtu wa masihara, huko kwenyewe walipokuwa wakienda kila mmoja alijua kabisa alikuwa akienda kupata totozi za maana, achana na zile za uswahilini ambazo walizipiga sana.
Baada ya dakika kadhaa gari likaanza kuingia ndani ya eneo la Jangwani Sea Breez, wakateremka na kuanza kuelekea ndani.
Njiani kila mmoja alikuwa akikodoa macho, kulikuwa na watoto wakali ile kinoma, watowo wa kishua, wazuri, wenye mchanganyiko wa rangi ambao waliwaacha hoi.
Walikwenda mpaka sehemu ya vinywaji na kutulia, wakaagiza vinywaji na kuanza kunywa. Macho yao hayakutulia, bado walikuwa wakiangalia huko na kule mpaka macho ya Idrisa yalipotua kwa msichana mmoja mrembo, mtoto wa Kihindi ambaye alikuwa amekaa pembeni peke yake akinywa juisi.
“Oya! Mnamuona yule mtoto?” aliuliza Idrisa huku akiwaonyeshea wenzake.
“Mmh! Kazuri! Ila mimi na Wahindi, hapana! Nimepiga wengi halafu hawana maajabu!” alisema Idrisa.
“Mimi namfuata! Nataka nimuonje hata mmoja, nawaonaga tu kwenye muvi,” alisema Idrisa.
“Kumbuka kauli mbiu yetu!”
“HAKUNA DEMU MGUMU DUNIANI!” alisema Idrisa na kupeana tano.
Idrisa akaondoka na kuelekea kwa msichana yule, alijiamini, kauli mbiu yao iliwapa nguvu ya kumpata mwanamke yeyote waliyekuwa wakimtaka. Alipomfikia, akakaa pembeni yake na kuanza kuzungumza naye.
“Umejitenga sana, unaonekana mpweke mno! Akshey kakusaliti nini?” aliuliza Idrisa huku akimwangalia msichana huyo mrembo ambaye alibaki akitabasamu tu.
“Why Akshey?” (kwa nini Akshey)
“Is the only name I know. Tell me what the hell is going on,” (ni jina pekee ninalolijua. Niambie kitu gani kinaendelea?) aliuliza Idrisa.
“Men! I hate ya’ll,” (wanaume. Nawachukia wote) alisema msichana huyo.
“Including me?” (pamoja na mimi?) aliuliza.
“Yes! Ya’ll the same,” (ndiyo! Nyie wote mpo sawa) alisema msichana huyo na Idrisa kuanza kucheka kicheko cha chini.
“Ok! My name is Idrisa!” (Sawa! Naitwa Idrisa) alisema kijana huyo huku akimpa mkono.
“Shannia.”
Wakaanza kuongea, Idrisa alikuwa mkali kwa watoto kama hao, alijua kuzungumza, hata kama msichana alikuwa na mawazo tele, alijua ni kwa namna gani alitakiwa kumuondolea mawazo na kumfanya kujisikia mtu mwenye furaha kuliko wote duniani.
Alibaki akiongea naye, alimwambia mambo mengi kuhusu wanawaume, mambo ambayo hakuwa akiyajua lakini kwenye hayo yote alimwambia kitu kimoja cha muhimu sana kwamba kama kuna mchezaji fulani alifanya kitu fulani, hakutakiwa kuuchukia mchezo wa mpira wa miguu bali alitakiwa kumchukia mchezaji husika.
“Unamaanisha nini?”
“Hutakiwi kuyachukia mapenzi, mchukie yule aliyekufanya ulie,” alisema Idrisa huku akiendelea kujifanya mshauri wa mapenzi bora kuliko wote katika dunia hii.
Wakati yeye akiendelea kuongea, macho ya John yalikuwa huku na kule, alikuwa akiwinda, hakuwahi kuondoka mtupu hapo Jangwani Sea Breez, alijua kuwachukua wanawake wa kila aina na muda huo alikuwa mahali hapo huku akiendelea na mawindo yake.
Kwa kuwa alihitaji kujua ni nani ambaye alikuwa hapo, akaingia kwenye makundi yake ya WhatsApp na kuandika kwamba alikuwa mahali hapo, kama kulikuwa na mtu karibu basi watafutane kama kuzoeana.
“Nitafute! Nipo humohumo!” alipokea meseji kutoka kwa Penina.
Kwanza akashtuka, hakuamini alichokuwa akikisoma, haraka sana akasimama kutoka alipokuwa na kuondoka, akaenda sehemu fulani iliyojificha kidogo ili hata kama Penina alikuwa hapo asimuone, huko akaanza kuchati naye.
“Una uhakika upo hapa?” aliuliza.
“Kwa nini nikudanganye! Nipo! Ila nitafute, sina muda wa kumtafuta mwanaume,” aliandika msichana huyo.
Hiyo ilikuwa kazi aliyopewa, hakutaka kupiteza muda, haraka sana akaanza kumtafuta msichana huyo. Alitembea kila kona, alikuwa makini kabisa, picha zake zilikuwa kwenye simu, aliziangalia ili asimpotee pindi atakapomuona mahali fulani.
Alimtafuta na kumtafuta lakini hakufanikiwa kumuona, akaamua kumuandikia meseji kwamba hakumuona, alihitaji kumwambia ni mahali gani alipokuwa.
“Mbona mimi nakuona?”
“Unaniona! Acha utani! Upo wapi Penina?”
“Hahaha!”
“Unanitania, right?”
“Kweli tena! SI umevaa fulana nyeupe ya kubana mwili na jinsi ya bluu, chini una raba nyeupe?”
“Exactly! Sasa upo wapi?”
“Ndiyo unitafute!” alisema msichana huyo.
Ilikuwa ni kazi kubwa lakini hakutaka kukubali, kwa mwanamke, alikuwa tayari kufanya kitu chochote kile lakini si kuona akimkosa. Alimtafuta sana msichana huyo, alitamani sana kuonana naye na leo hii alimwambia kwamba alikuwa mahali hapo, kwa nini asijitoe na kumtafuta kwa nguvu zote kama alitafuta kazi.
Baada ya dakika kama kumi macho yake yakatua kwa msichana aliyekaa mbali na wenzake, alimuona kwa nyuma, kwa jinsi alivyofunga nywele zake, alizibana kwa staili ya aina yake, hakutaka kusubiri, akaanza kumsogelea.
Alipolifikia kundi la wanawake wale, akamshika bega kwa nyuma na msichana huyo kugeuka. Kila mmoja aliyekuwa mahali hapo alibaki akimshangaa John, hawakumuelewa alikuwa nani na kwa nini alimfuata Penina na kumshika bega kwa nyuma.
“Nimekubamba!” alisema John huku akitoa tabasamu pana.
“Mr Johnny!”
“Yeah! Thats me...” (yeah! Ndiye mimi) alisema John na Penina kusimama kisha kumkumbatia.
Wasichana wale waliendelea kushangaa. John naye alipenda sifa, alimng’ang’ania msichana huyo vilivyo lakini kila alipoiga macho yake kwa marafiki zake waliokuwa pale, walikuwa mademu wakali ile kinoma.
“Jamani huyu anaitwa John,” alimtambulisha Penina kwa marafiki zake.
“Tunafurahi kumfahamu!”
“Ila na mimi nataka kuwajua pia, watambulishe bhasi! Yaani wote ni warembo, hivi mlichaguana kuwa marafiki na wale wabaya mkaacha wajichague wenyewe kwa wenyewe?” aliuliza John, kwa jinsi alivyosikika tu alikuwa mchangamfu kupita kawaida, wote wakaanza kucheka.
“Hahaha!” naye Penina akaanza kucheka, halafu akaanza kuwatambulisha.
“Huyu anaitwa Esta, yule Amanda, yule kule Nasria na yule wa mwisho anaitwa Pamela! Aya sema unamtaka nani,” alisema Penina.
“Mimi nawataka wote!”
“Eti unawataka wote! Fala sana wewe.”
“Kwani kuna dhambi jamani? Mbona King Mswati anaoa kila mwaka....”
“Sasa si yeye!”
“Basi nasilimu! Nakuwa Muislamu halafu naoa wake wanne, hapo pia mtanikataa?” aliuliza John.
Muda wote alikuwa mtu wa kuzungumza. Mahali hapo alitawala jukwaa la kuongea, aliongea kama chiriku kiasi kwamba mpaka wasichana hao wakafurahia uwepo wake mahali hapo.
Alimsahau kabisa Penina, wasichana wengine waliokuwa mahali hapo walikichanganya kichwa chake kupita kawaida. Hasa yule Nasria, mtoto chotara, alikuwa mrembo ile mbaya na kanguo alikokavaa kalikafanya kitovu chake kuwa nje, basi John akazidi kupagawa.
Kwa jinsi John alivyoonekana, Penina alijua hali ya hewa ingebadilika kwani wale marafiki zake walionekana kupagawa mno kwake.
Akamchukua na kuondoka naye pembeni, alimpenda mwanaume huyo na hakutaka kuona akichukuliwa na marafiki zake. Pale pembeni wakaanza kupiga stori, John hakutaka kuchelewa, alimwambia Penina jinsi alivyokuwa akimuelewa, kwake alikuwa msichana wa kipekee kupita kawaida.
“Mh! Wanaume nyie!” alisema Penina.
“Sure! Penina! Ninakupenda mno, tatizo lenu mnataka kudanganywa, ukweli hamtaki kuusikia,” alisema John huku akicheka.
“Eti tunapenda kudanganywa. Aya hebu nidanganye!”
“Ninatamani sana kula mtoto wa kishua, nyama hiyo sijawahi kuila,” alisema John.
“Hahaha! Sasa nani wa kishua!”
“Wewe hapo! Hebu jiangalie kwanza. Hivi huwa unapaka lotion gani?”
“YA kawaida tu!”
“Nyie mnaosema ya kawaida ni zile za kutoka Dubai moja kwa moja. Hahaha!”
“Chizi wewe!” alisema Penina.
“Kwa hiyo?”
“Kuhusu?”
“Kucheza!”
“Kucheza nini?”
“Kuch Kuch Hotae...”
“Fala sana wewe!”
“Serious! Penina, hebu tutafute sehemu tuongee kidogo!”
“Kwani hapa hapafai?”
“Nope! Nasikia aibu!”
“Eti nasikia aibu! Wewe unataka wapi?”
“Ndani ya gari langu!”
“Mh!”
“Pleaseeee...”
Hiyo ndiyo ilionekana kuwa sehemu maalumu ya wawili hao kukaa na kuzungumza pamoja. Hakukuwa na tatizo lolote lile, Penina akakubali na kwenda naye huko, wakaingia ndani na kukaa kiti cha nyuma.
Kwa jinsi msichana huyo alivyokuwa, John aliona kabisa hiyo ilikuwa siku yake, alitakiwa kumla msichana huyo kwa kuwa kipindi kirefu sana alimfuatilia lakini hakupata bahati ya kuonana naye.
“Leo ninataka kuamini!” alisema John.
“Kuamini nini?”
“Kama kweli ni Tundu la Mdomo wa Chupa kweli au unanizingua tu,” alisema John na Penina kuanza kucheka.
John hakutaka kulemba, hakuwa na nafasi ya kuongea naye sana, akajisogeza kwa msichana huyo na kutaka kuubusu mdomo wake, akaupeleka pembeni.
“Unataka kufanya nini?” aliuliza Penina.
“Kwani nilikwambiaje?”
“Hebu acha utani! Haiwezi kutokea, unakumbuka nilikwambiaje?” aliuliza msichana huyo.
“Penina! Hata kuonja ladha ya mate yako unanibania kweli?”
“Huanza na mate...baadaye utasema nina kifua kizuri unataka kukiona, utaendelea hivyohivyo mpaka chini na mwisho wa siku unanibanjua humuhumu,” alisema Penina.
“Hahaha! Mtoto mhuni sana wewe! Yote umeyajulia wapi?”
“Kwani mimi siwajui nyie! Kwa leo, hapana kwa kweli,” alisema Penina.
Aliongea kama utani lakini alimaanisha. Ni kweli ilishindikana kama alivyomwambia japokuwa naye John alijidai kung’ang’ania mno.
Hakukuwa kilichofanyika mpaka walipoteremka na kuelekea kule walipokuwa marafiki zake na kuanza kupiga nao stori, muda wa kuondoka ulipofika, John akainuka na kuondoka naye.
Kila mmoja mahali hapo alimwangalia Penina, walihitaji kujua zaidi kuhusu mwanaume huyo kwani alionekana kuwa tofauti, alikuwa mchangamfu kupita kawaida.
“Jamani! Mbona mnamuulizia sana?” aliuliza Penina.
“Tunamtaka. Naomba namba yake,” alisema Esta.
“Na mimi pia. Wale wanaume wa vile ndiyo tunawatafuta,” alisema Nasria kitu kilichomchanganya sana Penina, yaani kwake John alionekana kama bati lakini cha kushangaza, kwa wenzake hao alionekana kuwa almasi, kama angeleta masihara, hao marafiki zake wangemchukua huyo John, hata kama hakutaka kuwa naye, hao marafiki zake wakamfanya kuanza kuvutiwa naye.
“Mh! Niwape namba! Haiwezekani! Sitoi namba. Ila ana nini yule mwanaume? Au ana kitu ambacho mimi sijakiona na wenzangu wamekiona? Hapana, siwezi kukubali, hebu nimuonje kwanza,” alijisemea Penina huku akiwaambia marafiki zake kwamba hawezi kutoa namba za John.

*Je, nini kitaendelea?*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee vp mbona kimya ? Rusha basi hata sehemu tano ndio upotee ...ama tuambie unaichukulia wapi tuifate wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…