Chombezo: Chumba cha uani

Chombezo: Chumba cha uani

Sehemu ya 06

Kwa siku hiyo alikuwa na ratiba ya kuonana na wasichana wawili, na wote ilikuwa ni lazima kufanya nao mapenzi, kuwaacha kwake ingeonekana kuwa kosa kubwa, hakutaka kukubali na ndiyo maana akaamua kujipanga.
Kitu cha kwanza siku hiyo asubuhi akanywa chai nzito, mchana pia akala chakula cha nguvu. Akamuita Asha na kuzungumza naye, alichomwambia ni kwamba siku hiyo alikuwa na ratiba ndefu hivyo alitakiwa kumuangalizia noma.
“Ratiba gani?” aliuliza.
“Recho anakuja!” alijibu.
“Recho? Mama mchungaji?” aliuliza.
“Ndiyo! Huyo ataondoka kama saa kumi, halafu pia Bupe atakuja jioni,” alisema.
Asha akashtuka, hakutegemea kusikia hivyo, huyo kaka yake alionekana kuwa mtu hatari, mzee wa mademu ambaye hakutaka kushindwa kabisa. Kwake ilikuwa vigumu kuamini kama alikuwa akienda kufanya mapenzi na wanawake wawili kwa muda mchache hivyo.
Wakati mwingine alikuwa akifurahia kilichokuwa kikitokea kwa sababu tu alijua angekwenda kufurahia kwa kusimama dirishani na kuanza kujiridhisha kwa kile kilichotakiwa kutokea.
Majira ya saa nane akapigiwa simu na Recho na kuambiwa tayari alifika kituoni na alianza kutembea kuelekea kwao.
“Sawa!”
Haraka sana akamuita Asha na kumwambia kwamba alitakiwa kujifanya alikuwa rafiki yake, ampokee na kuzungumza naye, baadaye ajifanye anamsindikiza hapo ndipo atakapompeleka chumbani kwake.
Akakubaliana na Asha na hivyo msichana huyo kupokewa. Alivyoonekana tu haikuwa kazi kugundua kama alikuwa msichana mlokole, kwa jinsi alivyovaa, alivalia sketi ndefu iliyokwenda mpaka miguuni na kwa juu alivalia blauzi nyeupe.
Asha akamchukua na kumpeleka sebuleni, alimwambia kabisa kuhusu mpango wake, wazazi wake hawakutakiwa kujua alifika nyumbani hapo kwa ajili ya nani.
Alimtambulisha kwa mama yake na walipokaa kwa nusu saa, msichana huyo akaaga kuondoka na Asha kujifanya kumsindikiza, wakapitia uani.
Huko ndipo Recho alipoingizwa chumbani kwa Juma ambapo alimkuta mwanaume huyo akimsubiri kwa hamu kubwa kitandani.
Alipoingia tu, Juma akasimama na kumsogelea, akamkumbatia kama baba aliyemkumbatia mtoto wake ambaye hakuwahi kuonana naye kwa miaka kadhaa.
“Hatimaye umefika mpenzi,” alisema Juma huku akimwangalia Recho.
Hapakuwa na muda wa kupoteza, yaani ilikuwa ni kama msichana huyo alifuata ngono chumbani humo, hapakuwa na kuulizana hali ya huko alipotoka ama mambo mengine, yaani akamuweka kitandani, akaanza kumvua nguo na kubaki kifua wazi.
“Juma subiri kwanza!” alisema msichana huyo akijitahidi kujitetea.
“Kuna nini?” aliuliza Juma.
“Nimekuja kukusalimia tu!” alisema.
“Najua! Tutasalimiana zaidi baada ya hapo,” alisema.
“Najua lakini mb....aishiiiiiiiiiii...oooooh...” alisema msichana huyo, kabla ya kumalizia sentensi yake, akaanza kuugumia kwa mahaba kwani ulimi wa Juma tayari ulianza kuchezea vichuguu viwili vilivyokuwa kifuani mwake.
“J..um..aaaa...” alisema Recho huku akionekana kuingia ndani ya mchezo wenyewe.
Juma hakutaka kuelewa, alikuwa na hamu na Recho lakini kingine alichokuwa akikifikiria ni msichana Bupe ambaye alitakiwa kufika hapo majira ya saa kumi na mbili.
Alitakiwa kufanya haraka na huyo kwanza kabla ya huyo wa jioni, alijitahidi kumfanyia utundu wote, Recho alikuwa akilalamika tu kitandani hapo, Juma alipitapita kwenye kifua chake, tumbo, kitovu, nyonga na sehemu nyingine, Recho akawa hoi.
“Naruhusiwa?” aliuliza huku akiwa ameishika sketi ya msichana huyo na kuanza kuivuta kwa chini.
Recho alishindwa kujibu swali hilo. Kwa kawaida unapouliza maswali, kunakuwa na majibu matatu, jibu la kwanza ni ndiyo, la pili ni hapana na la tatu ni ndiyo ambalo linaweza kuwakilishwa na ukimya tu.
Taratibu Juma akaanza kuitoa kutoka maungoni mwake, Recho hakuleta ubishi wala kitu chochote kile, sketi ikavuliwa, nguo ya ndani nayo hivyohivyo.
Akabaki kama alivyoumbwa Eva katika bustani ya Eden, Juma alikuwa akimwangalia kwa matamanio, kwake alionekana kuwa kama mpya vile, alichokifanya ni kuitanua miguu yake, mmoja ukapelekwa Kaskazini na mwingine Kusini na kuanza kupiga deki.
Kichwani mwake kulikuwa na jambo moja tu lililojengeka, kwamba kama unataka kuyafaidi mapenzi basi ni lazima uyafanye katika mazingira ya uchafu, na ndicho alichokifanya.
Recho alikuwa akilalamika kimahaba, wakati mwingine alitoa sauti lakini Juma alikuwa akimziba kwani hakutaka sauti ya msichana huyo isikike nje ya chumba hicho.
Wakati akiendelea na mambo hayo, Asha kama kawaida yake alikuwa nje ya chumba hicho, hakutaka kuwa bize kama siku nyingine kwani ilikuwa ni mchana halafu watu wengine ndani ya nyumba hiyo walikuwa wakitokatoka kuendelea na shughuli nyingine, ila sauti ya Recho alikuwa akiisikia vilivyo kwani hakuwa mbali na dirisha hilo.
“Baby pleaseeeeee....gimme some more....” alisema Recho kwa Kizungu kile cha kwenye televisheni.
Juma alikuwa siriazi na jambo hilo, alikuwa tayari kufanya makosa sehemu nyingine lakini si sehemu kama hiyo, hasa anapokuwa na msichana chumbani kwake.
Juma hakutaka kumaliza nguvu zake kwa Recho kwani alijua alikuwa na gemu matata sana hapo baadaye, hivyo alifanya kikawaida sana na alipomaliza, wakabaki wakiangaliana kitandani.
“Vipi?” aliuliza Juma huku akimwangalia msichana huyo.
“Yaani wewe kila nikija unataka tufanye mapenzi,” alisema Recho kama alikuwa akilalamika fulani hivi.
“Sasa wewe ulitaka tukae tuongee tu jamaniiiii! Aya niambie kilichokufanya kutaka kuniona,” alisema Juma huku akimwangalia Asha.
“Mh! Na wewe nawe!” alisema Recho.
Ni kawaida ya msichana, hata kama alikuwa amelifuata penzi hakuwa tayari kulisema hilo, alizugazuga lakini ukweli ni kwamba alifuata penzi la mwanaume huyo kwani alilimisi sana.
Walikaa na kuzungumza na ilipofika majira ya saa kumi jioni, akaaga, Asha akamchukua na kumsindikiza. Juma akatoka na kuelekea bafuni, akajimwagia sasa akatulia na kuanza kumsikilizia huyo Bupe.
Alimkumbuka jinsi alivyokuwa, msichana huyo hakuwa na masihara, aliumbika, alikuwa na msambwanda wa maana na muda wote alikuwa akimfikiria, alitamani sana kuona akionana naye na kumuweka ndani ya chumba hicho.
Akampigia simu, simu hiyo ilikuwa ni kama kumkumbusha kwamba hakutakiwa kumsahau, akajifanya kumsalimia na kumwambia alimaliza kazi zote hivyo alikuwa akimsubiri nyumbani kwao.
“Mwanaume una presha sana jamaniiii!” alisema Bupe.
“Lazima niwe na presha bwana! Nina hamu ya kumuona mwanamitindo wangu, mwanamke anayejua kuvaa kuliko wote hapo Mwembechai,” alisema maneno ambayo yalimfanya Bupe kufurahia tu, hakujua kama maneno hayo yalikuwa na mtego wake.
“Jamani nitakuja! Usiwe na presha, umesikiaeeee...” alisema Bupe.
“Sawa bhana! Mimi nakusubiri!” alisema Juma.
Moyo wake ukaridhika, sasa akajua kabisa kulikuwa na uhakika wa Bupe kufika nyumbani hapo. Alikaa kwa dakika chache, akaamua kumuita Asha, ilikuwa ni lazima ampange kabisa asije kuharibu kwani mtu aliyekuwa akija muda huo alikuwa muhimu sana.
“Asha! Nataka umpokee mgeni wangu mwingine,” alisema Juma huku akimwangalia Asha.
“Sawa. Ni nani?”
“Bupe!”
“Ndiye nani?”
“Nilionana naye jana pale Oilcom!”
“Jana?”
“Ndiyo!”
“Na leo anakuja?”
“Ndiyo!”
“Mh! Wewe kaka’angu utakufa,” alisema Asha.
“Hakuna atakayebaki hai!”
“Ila wewe utakufa kifo kibaya sanaaaaa....”
“Tulia weweeeeee...” alisema huku akicheka.
Alimpanga Asha kwamba Bupe angefika hapo kwa bodaboda hivyo alitakiwa kwenda kumpokea. Huyo hakutakiwa kuwa kama Recho kwa maana kwamba hakutakiwa kufika sebuleni bali alitakiwa kupelekwa chumbani moja kwa moja.
Hilo halikuwa tatizo, akakubaliana naye na hivyo kuanza kusubiri. Ndani alikuwa na presha kubwa, hakujua gemu yake na Bupe ingekuwaje siku hiyo kwani alitamani sana kuwa na msichana huyo kupita kawaida.
Alikaa mpaka majira ya saa kumi na mbili, akasikia simu yake ikiita, haraka sana akaipokea, alikuwa Bupe ambaye alimpigia kwa namba ngeni.
“Ndiyo nakuja, nielekeze,” alisema. Akaanza kumuelekeza kwa makini kabisa na kumwambia dada yake angekwenda kumpokea kwani alikuwa na kazi anafanya, msichana huyo akakubali.
Alipokata simu, akamuita Asha na kuanza kumpanga kwamba huyo Bupe alikuwa njiani, hivyo alitakiwa kujiandaa kwenda kumpokea kwa kuwa angefika kwa bodaboda muda si mrefu.
Kama alivyosema ndivyo ilivyotokea, baada ya dakika kadhaa, simu yake ikaanza kuita, alipoipokea, sauti ya Bupe ikasikika na kumwambia alifika alipomwambia afike, akamuita Asha, akampa elfu tano na kumwambia akamchukue msichana huyo.
Haraka sana Asha akaenda huko, alipofika, akamchukua na kuanza kuongozana naye kuelekea nyumbani. Njiani walikuwa wakiongea kana kwamba walikuwa wamezoeana kwa kipindi kirefu, waliongea mpaka walipoingia nyumbani kwa mlango wa uani ambapo moja kwa moja Bupe akapitishwa mpaka geto kwa Juma.
Juma alipomuona tu, haraka sana akainuka kutoka kitandani na kumsogelea msichana huyo, akamkumbatia na kumwangalia usoni.
“Umependeza kama kawaida yako! Hujawahi kuniangusha,” alisema Juma huku akimwangalia Bupe usoni.
“Umeshaanza kunifunga kamba!” alisema msichana huyo.
“Hamna! Huo ndiyo ukweli! Hebu jiangalie,” alimwambia huku akimshika mkono na kuanza kumzungusha, basi Bupe akajisikia rahaaa.
“Na Mungu amekubariki sana, akaamua kukuongezea ongezea nyama huku nyuma ilimradi tu uje kuturusha roho ,” alisema Juma huku akimwangalia Bupe kwa matamanio makubwa.
Bupe akaanza kujisikia aibu.
Baada ya kuongea kwa dakika kadhaa, Juma akatoka na kwenda kumnunulia kinywaji mgeni, akamchukulia soda na viepe kwani alimwambia ana njaa hivyo alitaka kula kwanza kabla ya mambo yoyote yale.
Kwa Juma hakuwa na tatizo lolote lile, kwake alifurahi kwa kuona sawa tu kwani mwisho wa siku ilikuwa ni lazima kukamilisha alichokuwa akikihitaji.
“Ila yule manzi amejazaaaa...” alisema huku akielekea kwa muuza chipsi.
“Halafu mtu anakwambia uzinzi dhambi! Sasa kweli umekutana na mtu kama Bupe, kweli kuna dhambi hapo? Kama ni dhambi kwa nini Mungu amempa nyama za nyongeza kama zile?” aliuliza, yaani alijitahidi kwa nguvu zote kutetea hoja yake kwamba uzinzi haukuwa dhambi hata kidogo.
Siku hiyo hakutaka kuzungumza lolote na watu wengine, alikuwa na haraka sana, ule mzigo aliouacha chumbani kwake haukuwa wa kawaida na haukutakiwa kupotezewa muda hata kidogo.
“Juma...” alisikia akiitwa, alipogeuka, macho yake yakatua kwa mshikaji wake aliyeitwa Ramadhani.
“Niambie!”
“Mzee baba unatisha!” alisema Ramadhani huku akimwangalia Juma.
“Kwa nini?”
“Nimekuona na Rukia jana! Yule manzi watu wanamsaka sana halafu mtoto anakaza, jana tumekuona naye, atanusurika kweli?” aliuliza Ramadhani huku akimwangalia Juma, alimjua, mtu huyo hakuwa na masihara hata kidogo hasa kwa sekta ya wanawake kama hiyo.
“Kwa nini asinusurike, siku hizi nimeacha mambo hayo!” alisema Juma.
“Hahaha! Huwezi kuacha, labda upunguze. Na vitu vyote unavyoviona kwa dada wa wenzio, kuna msela kaviona kwa dada yako,” alisema jamaa huyo huku akicheka.
“Alizaliwa msichana kwa ajili ya hayo, kuijaza dunia, kama kweli unamtaka, mfuate kwani ukishindwa, nitamfuata dada yako,” alisema Juma na wote kuanza kucheka.
Hapo Ramadhani alimkumbusha kuhusu Rukia, alimsahau kabisa kwa kuwa alikuwa na mambo mengi. Akachukua simu yake na haraka sana akampigia msichana huyo na kuanza kuzungumza naye.
Alikuwa na tamaa na hakutaka kumuacha msichana yeyote aliyekuwa akikatiza mbele yake na ndiyo maana hata huyo Rukia kumuacha ilionekana kama dhambi kubwa mbele yake.

Je, nini kitaendelea?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii story imenimalizia bia kreti moja.

Asha ataliwa na Kaka yake I bet
 
Sehemu ya 07

Alimchombeza kwa maneno kadhaa japokuwa hakuonekana kama kushirikiana nae, akaamua kuachana naye na kuchukua chipsi zake na kurudi magetoni kwake.
Juma alikuwa akitembea lakini akahisi kama alikuwa akichelewa kufika huko, alikuwa na presha nzito, alikuwa akimfikiria msichana huyo kuliko kitu chochote kile, baada ya dakika moja, akafika na kuingia.
Hapakuwa na noma, Asha alikuwa hapo uani akilinda mtu yeyote asisumbue kwani alijua kabisa na yeye siku hiyo alitakiwa kufaidi kama kawaida yake.
“Mshua kafika hapa kuniulizia?” aliuliza Juma huku akimwangalia Asha.
“Hamna! Hajafika, hata angefika ningemwambia haupo!” alisema Asha huku akichekacheka.
“Sawa!” alisema na kuingia ndani.
Alimkuta Bupe akiwa kitandani, alivua ile nguo yake na kubaki na khanga aliyokuwa amejifunga kwa staili ya lubega. Alilala kifudifudi, hivyo mgongo wake ulikuwa kwa juu.
Mapigo ya moyo wa Juma yalikuwa yakidunda kwa kasi, hakuamini kuonana na msichana aliyekuwa na msambwanda kama huo, alitamani kuurukia lakini akajidai kujiuzuia.
“Bupe...” alimuita msichana huyo ambaye alijifanya amelala.
Juma akamsogelea na kuanza kumshika mguu huku akimuita, Bupe hakutaka kugeuka, Juma akaona siyo ishu sana kwani michezo kama hiyo alishawahi kuchezewa sana, akaupeleka mkono wake kwenye msambwanda na kuanza kumshtua.
“Bupe mama...” alimuita, msichana huyo akaanza kujinyonganyonga na kuamka.
“Umerudi....” alisema.
“Yeah! Nimechelewa sana mpaka umelala! Amka kwanza ule,” alisema Juma, alijifanya kuwa msamaria mwema kuliko hata yule aliyeandikwa kwenye Biblia aliyemsaidia mwanaume aliyekuwa amepigwa na wezi.
Bupe akachukua chakula na kuanza kula, walikuwa wakipiga stori huku muda mwingi akili ya Juma ilikuwa ikimfikiria msichana huyo, alimdatisha, aliufikiria ule msambwanda, alikosa kabisa kitu cha kusema, akatabiri kabisa mpambano wa siku huo ungekuwa wa kipekee kabisa.
Bupe alikula na alipomaliza, akajilaza kitandani. Juma hakuwa na presha, alijua kabisa kwenye mechi ya siku hiyo hakutakiwa kuwa na presha hata kidogo, alichokifanya ni kuweka nailoni aliyobebea chipsi kwenye chombo cha takataka na kisha kumsogelea msichana huyo kitandani.
“Mungu fundi sana,” alisema Juma huku akimwangalia Bupe, tena akaupeleka mkono wake kwenye ule msambwanda.
“Jamaniiiiiiii!”
“Mpaka nakuonea wivu!” alisema na kuanza kucheka.
“Eti unanionea wivu, unautaka nikupe?” aliuliza Bupe huku akicheka.
“Ndiyo! Nipe! Hebu cheki ulivyoumbika, yaani naamini kuna wengi sana wanatamani kuwa kama wewe, ila ndiyo hawawezi, wanakuwa vilevile kama wamepigwa pasi na kunyooka vilivyo kama rula,” alisema Juma na wote kuanza kucheka.
Macho yalimtoka, hakuwa akijiamini kama kweli leo alikuwa na msichana huyo kitandani kwake, aliona kama alikuwa kwenye ndoto fulani hivi ambapo baada ya dakika kadhaa angeamka na kujikuta akiwa kitandani amelala, tena jogoo akiwa anawika huko nje.
Aliwazoea wanawake, alijua kubanjuka nao lakini huyo wa siku hiyo alionekana kuwa tofauti, Bupe hakuzoeleka hata kidogo. Alimwangalia kwa matamanio huku akiwa hafanyi lolote lile kana kwamba alitaka kupiga naye picha.
“Bupe...” alimuita, sasa akaamua.
“Abeee....” aliitikia msichana huyo.
Hakutaka kumwambia alichomuitia zaidi ya kuanza kuitoa ile khanga iliyokuwa kwenye mwili wake, unadhani Bupe alileta ubishi? Walaaa, ndiyo kwanza akawa anajigeuza ili itoke vizuri.
Kwa sekunde kama tano tu, Juma aliitoa yote na kubaki na nguo ya ndani tu, huku chini mzee John hakuwa kwenye hali ya kawaida, yaani alikuwa tayari kwa kila kitu.
“Siamini kama leo nakwenda kulifaidi hili tunda,” alisema Juma huku akimwangalia vizuri Bupe pale kitandani, msichana huyo hakusema kitu zaidi ya kutoa tabasamu tu.
Juma akamchukua na kumlaza chali, akapanda kwa juu na kama kawaida ufundi wake ukaanzia kwenye kifua cha msichana huyo. Hapo ndipo kulipokuwa na hatua ya kwanza kabla ya kufanya jambo lolote lile.
Aliamini ili kuwe na mwanzo mzuri ilikuwa ni lazima kuanza na hapo na aliuamini mdomo wake kuliko kitu chochote kile, vile vichuguu viwili kwenye kifua cha Bupe akaanza kudili navyo kwa kasi kubwa.
Miguno ilianza kusikika taratibu sana, kwa sauti ya mbali lakini ghafla ikaanza kusikika chumbani kote. Juma hakutaka kuacha, tayari akili yake iliruka, ilichanganyikiwa na aliamini anaweza kufanya jambo kubwa sana jioni ya siku hiyo.
Alikaa kwa juu, akaanza kushuka chini kama kawaida yake, kwenye kila hatua Bupe alikuwa akilialia tu kwa mahaba, Juma hakuacha.
“Upo tayari?” alimuuliza kama baada ya dakika kumi za kuutalii mwili wake.
“Tangu jana...give me baby boy....” alisema msichana huyo kwa Kiingereza cha chumbani.
Kwa utalaamu wake, Juma akaiuma meno ile nguo ndogo ya ndani na kuanza kuitoa kwa meno yake, alikuwa kijana mpumbavu sana, aliweza kufanya mambo yote hayo kwa kuwa alikuwa mtaalamu wa kuangalia mikanda ya watu wazima.
“Kama vipi mechi si ianze tu...” alijisema, akawaita wachezaji wake, wakajipanga na kuanza kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani na refa kuita kati na mechi kuanza mara moja.
Timu pinzani ilianza kwa kasi sana, Juma alikuja kugundua kama siku hiyo hakuwa mjanja wa kuangalia mahali gani kulikuwa dhaifu basi angekwenda kula nyingi sana,
Kwa dakika kumi alianza kuusoma mchezo, alitazama jinsi wachezaji wa timu pinzani walivyokuwa wakishambulia lango lake kwa kasi kubwa.
Aliogopa, aliona kabisa siku hiyo kungekuwa na aibu kubwa sana mbele yake, kama mtalaamu wa kubadilisha mchezo, ilikuwa ni lazima afanye kila liwezekanalo kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa.
Kwa dakika ishirini nzima akacheza chini ya kiwango, alikubaliana na matokeo kwa kuwa timu ya siku hiyo haikuwa ya kitoto hata kidogo. Akaomba dakika tano tu za kupumzika, akavuta pumzi, akanywa maji na baada ya hapo akabadilisha mfumo wa kujaza viungo katikati hivyo kushambulia mwanzo mwisho.
Ni ndani ya dakika tano za mwanzo tu, timu pinzani ikaanza kushambuliwa, ilikuwa na ukuta hatari, ulioweza kuzuia lakini ilishindwa kabisa kuzuia vilivyo, Juma akarudi mchezoni na kuanza kutawala mchezo.
Muda wote wa mechi Asha alikuwa dirishani kama kawaida yake, alichanganyikiwa kupita kawaida, alimkumbuka Bupe alivyokuwa na msambwanda, alijua kabisa siku hiyo kaka yake alikuwa akifaidi kupita kawaida, akatamani kama angekuwa Juma kwani ile kazi iliyokuwa imefika siku hiyo haikuwa ya kitoto hata kidogo.
“Jumaaaa....Jumaaaaa.....” alisikika Bupe, hakuwa akiongea kitu kingine zaidi ya kulitaja jina la mwanaume huyo tu aliyekuwa bize kushambulia pembe zote za uwanja, na alijua kuzitifua nyasi zote za uwanja.
Mechi ilichezwa, ilikuwa ni ya tofauti kabisa, kipindi cha kwanza kilichukua dakika nyingi, wakaingia cha pili, kila mmoja alionekana kuwa na nguvu yake, mechi ikachezwa, kipindi cha pili kikamalizika wakaingia cha tatu, yaani kama ni mechi basi hiyo ilikuwa ya mchangani, ilikuwa na vipindi vinne na vyote vilichezwa zaidi ya dakika arobaini na tano.
Mpaka wanamaliza ilikuwa majira ya saa mbili na nusu, wakabaki wakiangaliana, kila mmoja alimfaidi mwenzake, walisifiana lakini Juma alionekana kabisa kutamani kuendelea kana kwamba wachezaji wake walikunywa dawa za kuongeza nguvu.
“Nilishawahi kukutana na wanaume wengi....” alisema Bupe huku akimwangalia Juma.
“Ila sijawahi kukutana na mwanaume kama wewe...” alimwambia.
“Nashukuru sana kuwa namba moja kwako. Mimi mwenyewe nimewahi kukutana na wanawake wengi, ila wewe kiboko!” alisema Juma huku akimwangalia msichana huyo.
“Umeridhika?” aliuliza Bupe.
“Hakika! Hapa ukiniongeza tu, nakufa kifuani,” alisema na wote kuanza kucheka.
Baada ya hapo Bupe akaelekea bafuni kuoga, alipomaliza akavaa nguo zake na Juma kumchukua na kuanza kumsindikiza. Walikuwa wamechoka lakini hilo halimfanya msichana huyo kuchukua bodaboda, walitembea kwa miguu mpaka walipofika Mwembechai alipokuwa akiishi.
“Sasa huyu ndiyo demu!” alisema Juma, moyo wake ulikuwa mweupeeee...kwa jinsi alivyomfaidi Bupe siku hiyo alipanga kurudia mechi baada ya siku chache.
***
Kulikuwa na majini mengi, Makata, sijui majini ya kukupa utajiri na umaarufu, lakini pia kulikuwa na majini ya kukufanya kuwa malaya tu, majini hayo yaliitwa Maimuna.
Hilo ndilo jini ambalo Juma alikuwanalo mwilini mwake, alipenda kufanya umalaya kuliko kitu chochote kile kwenye dunia hii. Kwa kuwa alikuwa malaya kupitiliza, mwisho wa siku harufu ya umalaya ikamganda na ikawa kila mwanamke aliyekuwa akikutana naye, kama alikuwa akimtaka ilikuwa ni lazima kumnasa.
Akili yake ilikuwa ikimfikiria Rukia, alimtaka sana msichana huyo, kwake alionekana kuwa mkali mno lakini kitu kilichomfanya kutamani zaidi kumchukua ni kwa maneno yake kwamba angekula kwa macho.
Juma hakuwahi kula kwa macho, na hakujua kula kwa macho kulifananaje kwa kuwa kila alipokuwa akipafuata, alipewa bila kulazimisha, sasa huyu Rukia alimwambia angekula kwa macho, akawa na hasira zaidi.
Akawa anachati naye kama kawaida, alitumia siku kama tatu hivi, wakazoeana, wakati mwingine msichana huyo akawa anampigia simu na kumsalimia.
Rukia alizisikia tu taarifa kwamba Juma alikuwa malaya sana mtaani lakini alishindwa kuzithibitisha na kubwa zaidi, alipokuwa akiongea naye, hakuonekana kuwa malaya, alionekana kuwa kijana mpole, aliyekuwa na hekima zake, ambaye hakupenda kabisa mambo ya wanawake.
Muonekano na maneno ya Juma yakamdanganya, akatokea kumuamini, alimwamini mtu asiyetakiwa kuaminika hata kidogo. Baada ya siku kama tano hivi, hatimaye akamwambia angependa kuonana naye nyumbani kwao kwani alikuwa na mengi ya kuongea naye.
“Mimi naogopa!” alisema msichana huyo.
“Sasa unaogopa nini na wewe?” aliuliza Juma huku akitoa kicheko cha chini.
“Basi tu!”
“Kwani nyumba yetu inang’ata?”
“Nitajuaje sasa!”
“Mbona haijawahi kukung’ata siku ile ulipokuja?” alihoji Juma, ikambidi tu Rukia acheke.
Walizungumza na mwisho wa siku kukubaliana kwenda nyumbani hapo, ila kwa sharti moja la kuishia nje tu pale uani.
“Wala haina shida mama!”
“Tena ujue kabisa nakuja kumsalimia Asha na si wewe malaya!” alisema Rukia.
“Eeh! Nimekuwa malaya tena?”
“Kwani unajua sisikii stori zako!”
“Usiamini unachokisikia! Siku ukisikia kwamba mimi ni shoga, utaamini?’ aliuliza.
“Eeeh! Mwanaume una maneno weweeeee...”
“Nimeuliza tu! Tuachane na maneno ya kusikia, ndiyo maana mpaka leo sijataka kuamini kwamba wewe ni malaya, nimesikia yule muuza duka pale kwa Mangi alishalala nawe, nimesikia yule George mwenye IST ameshalala nawe, nimesikia yule muuza genge ameshalala nawe, tena kwa sababu tu alikuongeza nyanya mbili,” alisema Juma.
“Weeeee...unikomeeeee...”
“Sasa si nimesikia kama wewe ulivyosikia habari zangu!” alisema Juma.
“Tena unikome...” alisema Rukia huku akicheka.
“Ndiyo maana nikakwambia hatutakiwi kuamini tunavyovisikia, kama mimi ambavyo sikuwahi kuziamini stori hizo,” alisema Juma.
Rukia akabaki akicheka tu, alipenda kuongea na mwanaume huyo kwa kuwa alijua kuongea, alimchangamsha sana, mwisho wa siku akamwambia acha ajiandae angekwenda kwao.
Simu ikakatwa na haraka sana akamuita Asha ambaye akaingia chumbani kwake na kuanza kumuweka sawa.
“Sasa sikia! Rukia anakuja...” alimwambia.
“Eeh! Mbona mimi hajaniambia?”
“Ndiyo nakwambia mimi hapa! Rukia anakuja, ila amesema ataishia hapo uani, hatokuja ndani!” alimwambia.
“Kwa hiyo?”
“Nataka umuingize humu ndani!”
“Nimuingize ndani?”
“Ndiyo!”
“Inakuwaje hapo.”
“Mimi najifanya sipo kwanza. Natoka, akija, mwambie nimetoka, ingia naye ndani muangalie sizoni!” alisema Juma na Asha kucheka.
“Eti sizoni...”
“Ndiyo hivyo! Halafu baada ya dakika kadhaa, mtu mzima narudi. Nikisharudi tu, wewe unajikataa, ndani unatuacha sisi wawili tu!” alisema Juma, alikuwa mzee wa plan.
“Halafu...”
“Baada ya saa moja, chumba kitajaa damu manake kutakuwa na mauaji ya kikatili yamefanyika...” alijibu Juma na kuanza kucheka.
“Makubwa. Sawa.”
Wakakubaliana na Asha kuondoka chumbani humo. Aliendelea na shughuli zake huku Juma akiwa ametoka kama alivyomwambia. Wala hazikupita dakika nyingi, Rukia akafika mahali hapo na kukaribishwa.
Siku hiyo alivalia vizuri tu, gauni lake refu lililokwenda mpaka chini ya miguu kabisa na kwa ndani alivalia taiti nyeusi. Kichwani mwake alikuwa na ushungi kama kawaida yake.
Wawili hao wakakaa nje na kuanza kuongea, waliongea kama dakika kumi hivi, Asha akamwambia kwa kuwa hawakuwa na la kufanya basi waingie ndani na kuangalia filamu.
“Sawa,” alisema msichana huyo.
Wakainuka na Asha kuufuata mlango wa Juma na kuufungua. Rukia akashtuka kwani alijua kwenda kuangalia sebuleni.
“Mbona huko tena?”
“Sebuleni kuna wageni!”
“Huko siingii!”
“Juma hayupo.”
“Mbona niliongea naye akasema yupo!”
“Ametumwa, hapa kurudi mpaka usiku!”
“Kwa hiyo alinidanganya?”
“Sijui!”
Wakaingia ndani, kwa jinsi chumba kilivyoonekana tu, picha yake ilionyesha kweli kilikuwa kinakaliwa na mwanaume na hapakuwa na mwanamke yeyote yule.
“Yaani huyu mwanaume anavyokiwekaga chumba chake...mpaka kero,” alisema Asha, sasa akaanza kumpigia pande kaka yake.
“Sasa si awe anamuita wifi yako ampangie vizuri...”
“Nani? Juma? Na anavyoogopa wanawake!” alisema Asha.
“Anaogopa wanawake?”
“Ndiyo! Juma muoga sana, wakati mwingine mpaka najuta hata kuwa kaka yangu. Anaongea na mwanamke mimi nikiwepo tu, ila muogoa kishenzi, baba kashamwambia akimaliza chuo atakwenda kumuolea mke,” alisema Asha.
“Eeeh! Kumbe ujanja wote anaogopa wanawake!”
“Ila usimwambie wala usimcheke sasa...” alisema Asha.
“Sawa.”

Je, nini kitaendelea?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Oi jamaa vp mbona kimya sana hapa toa hadithi hiyo tu drop nayo mze baba
 
SEHEMU YA 08.

Wakaweka muvi na kuanza kuangalia. Kwanza Rukia alionekana kukiogopa chumba, hata kukaa kwake kitandani hakukuwa pa kujiamini sana. Chumba cha Juma hakikuwa na kiti, alifanya hivyo makusudi kwa kuwa kinapokuwa na kiti, ndicho huwa kitu cha kwanza kwa mwanamke kukimbilia.

Sasa hakuweka kiti, kama unataka kukaa, kaa kitandani.

Baada ya nusu saa, Rukia akakizoea chumba, na miguu yote akaipandisha kitandani. Wala hazikupita dakika nyingi, Juma akafika, moja kwa moja akapitiliza hadi chumbani.

“Eeh! Kumbe mgeni amefika...mbona hukuniambia,” alisema Juma huku akijifanya kushangaa.

“Kwanza ulinidanganya! Ulisema upo nyumbani!”

“Mzee alinituma. Pole kwa kunisubiri!” alisema Juma.

“Kumbe alikuwa anakusubiri wewe!” alisema Asha.

“Ndiyo! Sasa wewe unafikiri mgeni wako huyu! Huyu mgeni wangu bwana....si eti Rukia,” alisema Juma. Rukia akabaki kimya tu.

Asha akazugazuga chumbani, akatoka huku akisema angerudi baadaye. Sasa chumbani wakabaki wawili, Juma mla kwa macho na Rukia aliyeamini siku zote Juma angekula kwa macho.

“Harufu yote ya kibeberu chumbani imetoka, imetawaliwa na harufu ya manukato yako,” alisema Juma huku akimwangalia Rukia.

“Kwanza sikai sana!”
“Najua sana! Hujawahi kukaa sana kwetu!” Juma alisema, akainuka na kwenda kuufunga mlango.

“Sasa mbona unaufunga mlango?”
“Asije mtu akatokea, tukakutwa na kufungishwa ndoa ya mkeka,” alisema Juma na kurudi kitandani, sasa wakaanza kuangalia muvi.

Akili yake haikuwa kwenye muvi hiyo, alibaki akimwangalia Rukia kitandani pale, jinsi alivyokuwa anavutia, alitamani hata kumrukia.

“Unajua Rukia wewe ni msichana mrembo sana,” alisema Juma huku akimwangalia, alikuwa pembeni yake, macho ya Rukia hayakutoka kwenye televisheni.

“Halafu una ngozi nzuri na laini,” alisema na hapohapo akaanza kuushika mkono wake, Rukia akawa kama hataki vile.

“Cheki ngozi ilivyokuwa laini...yaani laini kishenzi, hii ndiyo maana halisi ya mwanamke!” alisema Juma huku akianza kuupapasa mkono ule, akaamua kuhamia miguuni.

“Nilidhani ulaini wa ngozi yako ni mikononi tu, kumbe mpaka miguuni...mtoto lainiiiii kama sufi,” alimwambia, alianza kuupapasa mguu wa Rukia, sasa akaanza kupanda, mpaka magotini.

“Niacheeeee...”

“Rukia! Unajua wewe ni mzuri sana,” alisema Juma, akatoa mkono kule mguuni, akaanza kuupeleka begani, halafu akaivuta kwa pembeni gauni lile, likashuka mpaka kifua cha binti huyo kuwa wazi upande mmoja. Akakutana na dodo moja matata sana.

“Mungu wangu! Rukia una kifua kizuri sanaaaaa...” alisema Juma, Rukia akataka kurudisha gauni lake begani lakini ghafla Juma akaliwahi dodo na kuliingiza mdomoni mwake.

Rukia akahisi kama mwili mzima ulikuwa umepigwa shoti ya umeme, alihisi vijidudu vikianza kumtembelea kuanzia miguuni mpaka kichwani, akatamani kulitoa dodo lake mdomoni mwa Juma lakini alihisi kuishiwa nguvu kabisa.

“Ju...maa...Ju...maa....” aliliita jina la Juma, lakini cha ajabu sauti yake ikaanza kubadilika.

Juma hakuishia hapo, akamvutia kwake na kumlaza chini, hakuruhusu dodo lile litoke mdomoni mwake, aliendelea kulimung’unya zaidi, akashusha tena gauni upande wa pili, akakutana na dodo jingine, napo akaanza kulifanyia kazi vilevile.

Rukia alianza kulia kimahaba, hakuamini kama alikamatika kirahisi namna ile, sasa akakiri kwamba hakuwa na nguvu zozote zile hivyo akamwachia mwanaume huyo afanye lolote lile alilolitaka.

Juma alitulia kwenye madodo yale kwa dakika tano nzima, akaona hiyo haifai, akaanza kulishusha gauni lile zaidi, weupe wa Rukia ukampagawisha kupita kawaida, tumbo lake lilikuwa zuri ajabu, akaona bora ahamie kwenye kitovu huku mikono yake akiiacha kwenye dodo zile ikiendelea kuikagua kwa kuyaminyaminya.

Hapo kelele za Rukia zikazidi kusikika, Juma hakutaka kuacha, aliendelea kama kawaida yake mpaka pale alipoamua kuendelea kulishusha gauni chini na kubaki na taiti pekee ambayo kwa Juma wala halikuwa na tatizo lolote lile.

Hapo sasa akaihamisha mikono yake kutoka kule kwenye dodo na kuhamia katikati ya miguu ya Rukia, alifanya kazi zake vilivyo, tena kwa utaratibu maalumu, msichana huyo alizidi kuchanganyikiwa mpaka kuhisi mwili wake haukuwa na nguvu tena, hata ile taiti ilipotolewa, hakuleta kipingamizi chochote kile.

Akabaki na nguo ya ndani tu, Juma hakuwa na presha, kwa jinsi Rukia alivyokuwa mzuri, msafi hakuwa na shaka kuanza kupiga deki japokuwa chumba kilikuwa kisafi kabisa.

Deki likaanza! Alichukua maji mengi na kuyaweka ndani ya ndoo, akachukua tambala na kuanza kupiga deki la uhakika. Kama ni pointi, basi hizo zilikuwa zile za juu kabisa. Kelele za Rukia zilikuwa kubwa, alichokifanya ni kufungulia redio halafu akaitoa nguo ile na kubaki mtupu kama nyoka alivyomkuta Eva katika bustani ya Eden.

Huku akiwa amesimama baada ya kuwasha redio, Juma alimwangalia Rukia pale kitandani, aliyafumba macho yake, hakuwa akijiweza kabisa, aliikuwa akimsubiri mwanaume huyo kitandani pale, amfanyie kitu chochote kile alichokuwa akihitaji.

Juma akavua nguo zake haraka sana na kumrudia pale kitandani

Wakati huo naye Asha alikuwa dirishani akisikiliza kila kitu kilichokuwa kikiendelea chumbani humo. Naye kama alivyokuwa Rukia chumbani mule, hata naye alichanganyikiwa. Vidole vyake alivipitisha katikati ya miguu yake, naye hakuwa akijiweza.

Humo ndani baada ya Juma kuhakikisha mzigo upo salama pale kitandai, sasa akaruhusu mechi ianze kwani mashabiki walisubiri sana, hivyo refarii akapuliza filimbi.

Mechi ilianza kwa kasi sana, bahati nzuri sana kwao, manyunyu ya mvua yakaanza kudondoka na mvua kunyeshwa, kwa jinsi manyunyu ya mvua yalivyokuwa yakisikika kwenye bati, Juma alihisi kama mashabiki walikuwa wakimshangilia, hivyo aliendelea kuonyesha ubunifu wake.

Alichokigundua ni kwamba hakuwa amekutana na timu ambayo haikuwa bora, haikuwa na ulinzi mzuri hivyo alikuwa na nafasi ya kufanya chochote kile alichokuwa akikitaka.

Alianza kwa formation ya 442 lakini baada ya kuona ulaini wa ulinzi wao, akaamua kubadilisha mfumo na kuanza kushambulia kama nyuki kwa kutumia mfumo wa 443.

Ilikuwa ni hatari sana kwa Rukia, aliishiwa nguvu na muda wote alikuwa akiugumia kwa mahaba mazito tu, alipelekweshwa huku na kule, kwa mwanaume mmoja tu aliyewahi kukutana naye tangu azaliwe, ilimfanya kuwa kwenye wakati mgumu mno.

Mpaka wanamaliza raundi ya kwanza baada ya dakika thelathini na tano, Rukia akaomba apumzike kwani alikuwa amechoka kwa kila kitu.

“Huchoki tu wewe mwanaume?” aliuliza Rukia huku akiwa pembeni kama alivyozaliwa, alichoka lakini kila alipomwangalia Juma, hakuonekana kuchoka hata kidogo.

“Mbona umechoka mapema hivyo?” aliuliza Juma huku akimsogelea vizuri na kuangalia vichuguu vyake viwili kifuani.

“Mi nimechoka bwana!”

“Mimi ndiyo kwanza naanza mama! Nivumilie na mimi niridhike,” alisema Juma na kuanza kudili na yale maembe dodo mawili.

Alianza taratibu kabisa lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda mbele kasi yake ikazidi zaidi na zaidi. Rukia hakutaka kabisa kuendelea lakini kitendo cha Juma kupanda kifuani tayari akaanza kurudishwa kwenye mchezo.

Akili yake iliwehuka kabisa, alichanganyikiwa, alisisimka, aliuacha mwili wake kwa mwanaume huyo aufanye chochote kile alichotaka.

Juma alikuwa bize na mwili wa Rukia, alikwenda kila alipopataka. Alipitia kwenye vichuguu vile, alipotoka hapo, akahamia shingoni, baadaye akahamia kwenye masikio, tumboni, vidoleni, yaani kila kona alipotaka kuhamia, alifanya hivyo.

Walirudia mechi, ilichezwa kwa kasi kubwa sana. Walicheza kwa dakika zaidi ya mia moja na ishirini na tayari timu pinzani ilikula bao tatu kwa sifuri hivyo Juma kuondoka na ushindi mkubwa, tena wa mabao mengi.

“Unajua umeniumiza.....”

“Najua! Ni maumivu yenye raha ndani yake ndiyo maana hukuwa unalalamika...” alisema Juma.

“Hebu kwenda huko. Kaniwekee maji nikaoge niondoke...halafu siji tenaaaa,” alisema Rukia, Juma akajichekea kwani kila mwanamke alisema hivyohivyo, na kesho yake akarudi tena.

Akatoka na kwenda kuchota maji na kumuwekea msichana huyo bafuni, akaenda kuoga na baada ya hapo kuondoka zake. Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa kuwa na Rukia, aliendelea kuwa naye zaidi na zaidi, walikulana mno huku Juma akijifanya kuwa kijana mtulivu kumbe upande wa pili alikuwa kijana mzinzi kupita kawaida.

***

“Yaani utanieleza vizuri...” alisikika mzee mmoja kwa sauti ya juu, alikuwa akimwambia binti yake aliyeitwa Rukia.

“Nisamehe baba!” alisikika msichana huyo.

“Hebu niambie hii mimba ni ya nani!” alisema mzee huyo.

Rukia alikuwa akilia, siku hiyo baba yake alibadilika mno. Alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano, baba yake alikuwa akitegemea mengi kupitia elimu yake lakini ghafla tu akaambiwa na mkewe kwamba binti yake alikuwa na mimba.

Alichanganyikiwa, akahisi kama kichwa chake kikipata hitilafu. Aliambiwa hivyo kwenye simu akiwa kazini kwake, hakutaka kukubali wala kuendelea kuwa huko, akaomba ruhusa na kurudi nyumbani huku akiwa amevimba kwa hasira.

Alipofika tu kitu cha kwanza kilikuwa ni kuonana na huyo Rukia na kumuuliza kuhusu mimba hiyo, ilikuwa ya nani na msichana huyo hakutaka kujibu.

“Paaaaa...” akazabwa kibao kimoja tu cha haja, akapepesuka na kuanguka chini. Mama yake akaanza kuogopa.

Damu zikamtoka mdomoni, aliumizwa vibaya lakini baba yake hakutaka kujali chochote kile, alichotaka ni kuambiwa hiyo mimba ilikuwa ya nani, vinginevyo angeua.

“Ya Jumaaaa...” alisema Rukia, alikuwa akijitetea.

“Juma yupi?” aliuliza mzee huyo kwani hapo mtaani kulikuwa na Juma wengi.

“Mabataaaa...” alijibu Rukia.

Mzee Salumu akamshika mtoto wake mkono na kuanza kuondoka naye, alikuwa ameumizwa sana na kile kilichotokea.

Alimfahamu huyo Juma aliyetajwa mahali hapo. Alikuwa kijana mwenye sifa mbovu na mbaya sana, aliyetembea na wasichana mbalimbali.

Kulikuwa na kesi nyingi zilizokuwa zikipelekwa hapo nyumbani kwao, waliambiwa wazazi wake lakini walipuuzia, sasa leo alimpa mimba mwanafunzi na mzee Salumu hakutaka kuelewa hata kidogo.

Watu waliokuwa mitaani walipowaona wawili hao wakiondoka kuelekea huko, wakajua kulikuwa na kitu kilichokuwa kikiendelea, hivyo wakaanza kufuatilia nyuma nyuma, na walipoona wameingia ndani ya nyumba ya mzee Mabata tu wakajua kulikuwa na kitu, bila shaka huyo Juma alisababisha maumivu makubwa kwa mzee huyo.

Mzee Mabata alikuwa nyumbani kwake, alitulia huku akiangalia televisheni, ilikuwa jioni fulani hivi tulivu, akaanza kusikia sauti za watu kutoka nje, hakutaka kujali kwani ilikuwa uswahilini, kusikia sauti kama hizo ilikuwa kawaida kabisa.

Mara mlango ukafunguliwa na mzee Salumu kuingia kama mwanajeshi huku akiwa amemshika vilivyo binti yake. Asha aliyekuwa anapika alipoona hivyo tu akajua kabisa kulikuwa na hatari, haraka sana akachomoka na kuelekea uani.

“Juma....Juma...Juma....” aliita huku akiugonga mlango, Juma aliyekuwa amelala, akaamka na kuufungua mlango.

Siku hiyo Asha alionekana kugonga kwa presha kubwa, ilionekana kabisa kulikuwa na kitu kilichokuwa kikiendelea. Alimshangaa, hakuwa kawaida, akamuuliza kilichotokea.

“Kuna nini?” aliuliza.

“Rukia kaja na baba yake!” alijibu.

Aliposema hivyo tu kumbukumbu zake zikaanza kurudi nyuma, siku ya mwisho alivyokuwa amefanya mapenzi na msichana huyo, hakutumia kinga na alimalizia kila kitu humohumo ndani.

Akajua kulikuwa na tatizo, hakutaka hata kusubiri kuona ni kitu gani kilikuwa kimetokea, akavaa nguo zake harakaharaka huyo akaondoka zake huku akifunga mlango wake.

Wazee walikuwa sebuleni na kuanza kuongea kilichotokea. Taarifa za awali zilisema Rukia alikuwa na mimba, na alisema ilikuwa ya huyo Juma na walifika mahali hapo kwa ajili ya kuzungumza naye.

“Huyu namuacha hapa...siondoki naye,” alisema mzee Salumu.

“Naomba tuongee kama wazee...” alisema mzee Mabata.

“Hakuna cha kuongea. Yaani huyu kashakuwa mwanafamilia wenu,” alisema mzee Salumu, hakutaka kubaki mahali hapo, huyo akaondoka zake huku akimuacha mwanaye mahali hapo.

Ilikuwa ni aibu kubwa kwa mzee Mabata na familia yake, mkewe akasimama na kuelekea uani, Juma hakuwepo, hakujua alikwenda wapi kwani alikuwa ndani muda si mrefu.

Rukia akaachwa hapo alikuwa akilia, hakupenda kuona hilo likitokea lakini hakuwa na jinsi. Kuanzia siku hiyo akaanza kuishi nyumbani hapo akilala na Asha.

Juma aliondoka nyumbani, alizima simu, akaenda kwa rafiki yake aitwaye Majuto aliyekuwa akiishi Kijitonyama na kukaa huko kwa wiki nzima, alipowasha simu akapigiwa na mama yake na kuambiwa arudi nyumbani kwani waliyamaliza kama wazazi.

Alimwamini mama yake na kurudi, alipofika, akashangaa kumkuta Rukia nyumbani hapo na kuhadithiwa kilichotokea, huyo Rukia aliachwa hapo na alitakiwa kuishi naye, alimuharibia maisha yake kwa kumpa mimba, sasa alitakiwa kutulia.

Juma akaomba msamaha kwa kilichotokea lakini hakumkataa Rukia, wakaanza kuishi pamoja huku akilea mimba ya msichana huyo.

Kuanzia siku hiyo akaacha umalaya, akatulia na Rukia, akawa kama mke wake, matokeo yalipotoka, alifanya vizuri na kuanza masomo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuanza kusomea Sheria.

Aliwaharibu watoto wa watu kwa kutembea nao ila mwisho wa siku akabadilika na kuwa mfano, mtaani hapo kila mtu alijua kilichotokea na kumuona akiwa amebadilisha kabisa maisha yake.

Huyu Juma hakuwa yule wa kipindi cha nyuma, alijiheshimu mno, alimuomba msamaha mzee Salumu na familia yake na alipomaliza mwaka wa kwanza huku Rukia akiwa amejifungua mtoto wa kiume, akaamua kumuoa, akaanza kuishi naye kama mke na mume.

Alikuwa malaya, kutembea na watoto wa kike lakini mwisho wa siku akabadilika baada ya kupata tatizo, akawa na Rukia ambaye alimpenda kupita kawaida.

Akina Rukia wapo wengi mitaani, akina Juma wamejaa tele. Kupitia stori hii fupi ya Chumba cha Uani tunatakiwa kufahamu kwamba ni hatari kufanya mapenzi bila kinga, ila ni hatari zaidi kufanya mapenzi na wanafunzi.

Ngono inapoteza ndoto za mtu, ngono inaharibu maisha ya mtu fulani, kwa nini uharibu maisha yako, ndoto zako kwa ajili ya ngono ya siku moja? Tubadilike, tukumbuke kwamba ndoto za Rukia zilivyoharibiwa kwa ajili ya ngono ya siku moja tu.

Wanaume hatutakiwi kuwa kama Juma, ni lazima tujue kuna mimba na magonjwa. Juma alibahatika kwa kuwa hakupata magonjwa ya zinaa, vipi kuhusu wewe ukianza kuwa na tabia kama za Juma? Kwa nini uyahatarishe maisha yako kwa starehe ya muda mchache?

Sisi kama vijana TUBADILIKE.


TUKUTANE KWENYE SIMULIZI NYINGINE, SIKU NYINGINE.

MWISHO
 
Oh imeishia sehemu nzuri. Bora alivyobadirika kijana mwenzangu Juma.
Asante kwa hadithi fupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom