Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 930
- 1,408
Naomba uzoefu wenu juu ya vitu hivyo viwili, katika kuskimu ukuta nini kitumike kati ya hivyo viwili ili kuleta uimara katika kupaka rangi.
Pole sana kiongozi.Ogopa sana Chokaaa, ipo siku ukuta utapukutika kama nguo iliyomwagiwa maji ya betri ndio utalia na kusaga meno.
Yaaaani mpaka leo fundi wangu namuona kama shetani kutokana na hii dhambi ya kunipeleka Pugu Road kule Mtava kununua michokaa kuuuumbe ndio naenda kuleta kichinjio cha Banda langu. Asalaleeeee
Uzuri haya mambo ya ujenzi yako wazi nyenye bei ni bora so angalia mfuko wako, huwezi fananisha white cement na gypsumKama pesa ipo, piga white cement kote nje na ndani, kwa hizo ukizoweka hapo..Gypsum powder ni bora.
Gypsum zinashika moto piaGypsum haisupport fire..ndomana skuhiz watu wanaipaka ndan.....na kwenye dari..sabab haishik moto..wameachana na sealing boards za zaman ambazo znashika moto
For skiming ndan ni gypsum..nje..utaamua mwenyew..ila wanapendekeza white cement sabab badae ukipaka rang juu yake itangaa vzur sana...so amua.....
Chokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu. Wasingetengeneza kama hazifai, sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point, ni matumizi yasiyo sahihi. Kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?Chokaa Ni vumbi jeupe halina maana yoyote zaidi ya kuweka point zako katka vipimo
Watu wanakwambia ayoo maunga Yao yanaleta fangasi, kwanini nyumba zamani zilikua hazina fangasiChokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu.wasingetengeneza kama hazifai,sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point.ni matumizi yasiyo sahihi.kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?
Naweza tumia white cement nje na ndani? MsaadaGypsum is better., lakini white cement kama hela ipo ni best
KChokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu.wasingetengeneza kama hazifai,sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point.ni matumizi yasiyo sahihi.kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?
Maybe!Ila inaozesha mkuu ndio maana kwenye kusaka dhahabu lazima chokaa itumike
K
Mkuu baada ya muda cement huisha nguvu kwenye chokaa hivyo hufanya chokaa ipukutike but gypsum huwa ina nguvu ya kujitegemea yenyewe hata ukiikologa kwa maji tuChokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu.wasingetengeneza kama hazifai,sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point.ni matumizi yasiyo sahihi.kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?