Chokaa na gypsum powder ipi bora?

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Naomba uzoefu wenu juu ya vitu hivyo viwili, katika kuskimu ukuta nini kitumike kati ya hivyo viwili ili kuleta uimara katika kupaka rangi.
 
Chokaa ni kwa ajili ya kupaka nilu sio kufanya skimming, gypsum powder ni bora. Wengine wanapaka nilu kea chokaa kisha wana skim kwa gypsum powder, ukifanya hivyo gharama inapungua na unapata matokeo mazuri zaidi.
 
Ogopa sana Chokaaa, ipo siku ukuta utapukutika kama nguo iliyomwagiwa maji ya betri ndio utalia na kusaga meno.

Yaaaani mpaka leo fundi wangu namuona kama shetani kutokana na hii dhambi ya kunipeleka Pugu Road kule Mtava kununua michokaa kuuuumbe ndio naenda kuleta kichinjio cha Banda langu. Asalaleeeee.
 
Ogopa sana Chokaaa, ipo siku ukuta utapukutika kama nguo iliyomwagiwa maji ya betri ndio utalia na kusaga meno.
Yaaaani mpaka leo fundi wangu namuona kama shetani kutokana na hii dhambi ya kunipeleka Pugu Road kule Mtava kununua michokaa kuuuumbe ndio naenda kuleta kichinjio cha Banda langu. Asalaleeeee
Pole sana kiongozi.
 
Gypsum haisupport fire..ndomana skuhiz watu wanaipaka ndan.....na kwenye dari..sabab haishik moto..wameachana na sealing boards za zamani ambazo zinashika moto

For skiming ndan ni gypsum..nje..utaamua mwenyewe..ila wanapendekeza white cement sababu badae ukipaka rang juu yake itang'aa vizuri sana...so amua.....
 
Gypsum haisupport fire..ndomana skuhiz watu wanaipaka ndan.....na kwenye dari..sabab haishik moto..wameachana na sealing boards za zaman ambazo znashika moto

For skiming ndan ni gypsum..nje..utaamua mwenyew..ila wanapendekeza white cement sabab badae ukipaka rang juu yake itangaa vzur sana...so amua.....
Gypsum zinashika moto pia
 
Skimming waga tunatumia White cement nje na ndani, Gypsum inatumika ku'skim board juu au kubandikia mikanda, hiyo chokaa duuh!
 
Skimming waga tunatumia White cement nje na ndani, Gypsum inatumika ku'skim board juu au kubandikia mikanda, hiyo chokaa duuh!!
 
Chokaa Ni vumbi jeupe halina maana yoyote zaidi ya kuweka point zako katka vipimo
 
Chokaa Ni vumbi jeupe halina maana yoyote zaidi ya kuweka point zako katka vipimo
Chokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu. Wasingetengeneza kama hazifai, sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point, ni matumizi yasiyo sahihi. Kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?
 
Chokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu.wasingetengeneza kama hazifai,sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point.ni matumizi yasiyo sahihi.kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?
Watu wanakwambia ayoo maunga Yao yanaleta fangasi, kwanini nyumba zamani zilikua hazina fangasi
 
Ila inaozesha mkuu ndio maana kwenye kusaka dhahabu lazima chokaa itumike
Chokaa ukichanganya na cement mbona unatoa nilu nzuri tu.wasingetengeneza kama hazifai,sio kazi ya chokaa kuweka vipimo kwenye point.ni matumizi yasiyo sahihi.kabla ya haya ma gypsumpowder watu walikuwa wanatumia nini?
K
 
Mkuu baada ya muda cement huisha nguvu kwenye chokaa hivyo hufanya chokaa ipukutike but gypsum huwa ina nguvu ya kujitegemea yenyewe hata ukiikologa kwa maji tu
 
Back
Top Bottom