Chocs umepewa 72 hrs umfungulie ErickB52! Vingenevyo .......

Chocs umepewa 72 hrs umfungulie ErickB52! Vingenevyo .......

Analipa aliyeona utamu
atakayetamukwa ndo atalipia

Mamndenyi ! Leo umekuaje?
Si kawaida yako kuchapia ! Nakufahamu umakini unaokuaganao! Sasa unaposema "atakaeona utamu"
utamu huonwa?
Wajua kionekanacho possible huweza kuchoreka, means kina image!
Hence nipe image ya utamu.
 
Last edited by a moderator:
Familia ya Erick,
P. o. Box 6501,
Sanawari
Arusha.
13.08.13

Yah. Kuachiwa huru Erickb52.
Kwako Chocs .
Familia ilikaa kikao kufuatia kadhia ya kupotea na kutosikika kijana wao kwa muda mrefu sasa.

Familia tukalazimika kufika hadi kwa wataalamu wa Mandingo, ambako huko manyanga yamethibitisha shemeji/mkwe Chocs umemfungia kwenye chupa.

Hii si mara ya kwanza familia kutoa maombi kama haya.
Kwani hata mwaka jana familia jirani ya akina Bishanga iliwahi kumuomba Kongosho ambae nae alikua amemuhifadhi Bishanga kwenye gudulia, hatimae Mushaija akafunguliwa.

Aidha familia pia tumefanikiwa kujua kijana wetu mwingine Arushaone nae ameanza kufungiwa taratibu kwenye chupa, but yeye umeingia mguu mmoja tu, kiwiliwili bado kipo nje!
Tukichelewa tu anazama mazima! Hilo tunalishughulikia.

Hitimisho -
Familia imekupa 72 hrs umtoe ndg yetu kwenye Gudulia vinginevyo litakalo kukuta usije tulaumu.
Patachimbuka!
Mimi katibu wa familia
Judgement.

Cheka sana mimi...mwacheni jamani labda mwenyewe guduria kalifurahia
 
Back
Top Bottom