Chocs umepewa 72 hrs umfungulie ErickB52! Vingenevyo .......

daah,
mie bado sijapata enzi kwa Bishanga
nilimshtukia anao wengi mno jamani.
looh utafikiria ni chuo

Enzi zake nawe hukuwahi kumzimisha? Na hivi anavyopenda kufanya finyango kwa finyango! Kumlimbwatisha hua easy!
 
Last edited by a moderator:
aliyekwambia kuwa familia yetu tunamtafuta kaka yetu ni nani? hujui kaka yetu huwaga anakwenda machimboni mrerani? Nani amekwambia kuwa wifi Chocs amemfisha mahali, uliza kwanza kwenye ukoo ndipo uambiwe yuko wapi Erickb52
Familia ya Erick,
P. o. Box 6501,
Sanawari
Arusha.
13.08.13

Yah. Kuachiwa huru Erickb52.
Kwako Chocs .
Familia ilikaa kikao kufuatia kadhia ya kupotea na kutosikika kijana wao kwa muda mrefu sasa.

Familia tukalazimika kufika hadi kwa wataalamu wa Mandingo, ambako huko manyanga yamethibitisha shemeji/mkwe Chocs umemfungia kwenye chupa.

Hii si mara ya kwanza familia kutoa maombi kama haya.
Kwani hata mwaka jana familia jirani ya akina Bishanga iliwahi kumuomba Kongosho ambae nae alikua amemuhifadhi Bishanga kwenye gudulia, hatimae Mushaija akafunguliwa.

Aidha familia pia tumefanikiwa kujua kijana wetu mwingine Arushaone nae ameanza kufungiwa taratibu kwenye chupa, but yeye umeingia mguu mmoja tu, kiwiliwili bado kipo nje!
Tukichelewa tu anazama mazima! Hilo tunalishughulikia.

Hitimisho -
Familia imekupa 72 hrs umtoe ndg yetu kwenye Gudulia vinginevyo litakalo kukuta usije tulaumu.
Patachimbuka!
Mimi katibu wa familia
Judgement.
 
Hakuna zaidi ya cha kumwambia asiyejua aandikacho! Zaidi ya kumpa POLE!
Btw niilaumu serikali kuruhusu Bar kuwa wazi mida ya kazi !
Wee si wa kulaumiwa.
 
Last edited by a moderator:
Si waona sasa! walau wana wa familia mawora yatawadrop kooni.
Kuna waliodhani umeshakatwa ulimi na umeegeshwa nyuma ya mlango!
Okey narudisha taarifa nyumbani! Ila huyu Chocs huyu!
Kukufanya kufikia umepoteza link na wa hom!
Au ndy wale wanaowekaga maparachichi ya waume kwenye kisosi !
Hii chupa ni ya kidigital..mtoto wa watu Erickb52 katulia tuliii,aende wapi na anapewa kabla hajaomba!!
 
Last edited by a moderator:
aliyekwambia kuwa familia yetu tunamtafuta kaka yetu ni nani? hujui kaka yetu huwaga anakwenda machimboni mrerani? Nani amekwambia kuwa wifi Chocs amemfisha mahali, uliza kwanza kwenye ukoo ndipo uambiwe yuko wapi Erickb52
Shangaa na wewe wifi yangu kipenzi. Erickb52 mahaba yamemtuliza ndani

etii Judgement asema ni chupa akhaaa Erickb52 kashikwa akashikamana wala hafurukuti mume wangu
 
Last edited by a moderator:
Familia ya Erick,
P. o. Box 6501,
Sanawari
Arusha.
13.08.13

Yah. Kuachiwa huru Erickb52.
Kwako Chocs .
Familia ilikaa kikao kufuatia kadhia ya kupotea na kutosikika kijana wao kwa muda mrefu sasa.

Familia tukalazimika kufika hadi kwa wataalamu wa Mandingo, ambako huko manyanga yamethibitisha shemeji/mkwe Chocs umemfungia kwenye chupa.

Hii si mara ya kwanza familia kutoa maombi kama haya.
Kwani hata mwaka jana familia jirani ya akina Bishanga iliwahi kumuomba Kongosho ambae nae alikua amemuhifadhi Bishanga kwenye gudulia, hatimae Mushaija akafunguliwa.

Aidha familia pia tumefanikiwa kujua kijana wetu mwingine Arushaone nae ameanza kufungiwa taratibu kwenye chupa, but yeye umeingia mguu mmoja tu, kiwiliwili bado kipo nje!
Tukichelewa tu anazama mazima! Hilo tunalishughulikia.

Hitimisho -
Familia imekupa 72 hrs umtoe ndg yetu kwenye Gudulia vinginevyo litakalo kukuta usije tulaumu.
Patachimbuka!
Mimi katibu wa familia
Judgement.

Ngoja kwanza nimepiga kambi siasani, najiandaa kuingia ikulu 2015 na first lady wenu Lady doctor.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom