Chocs umepewa 72 hrs umfungulie ErickB52! Vingenevyo .......

Chocs umepewa 72 hrs umfungulie ErickB52! Vingenevyo .......

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Familia ya Erick,
P. o. Box 6501,
Sanawari
Arusha.
13.08.13

Yah. Kuachiwa huru Erickb52.
Kwako Chocs .
Familia ilikaa kikao kufuatia kadhia ya kupotea na kutosikika kijana wao kwa muda mrefu sasa.

Familia tukalazimika kufika hadi kwa wataalamu wa Mandingo, ambako huko manyanga yamethibitisha shemeji/mkwe Chocs umemfungia kwenye chupa.

Hii si mara ya kwanza familia kutoa maombi kama haya.
Kwani hata mwaka jana familia jirani ya akina Bishanga iliwahi kumuomba Kongosho ambae nae alikua amemuhifadhi Bishanga kwenye gudulia, hatimae Mushaija akafunguliwa.

Aidha familia pia tumefanikiwa kujua kijana wetu mwingine Arushaone nae ameanza kufungiwa taratibu kwenye chupa, but yeye umeingia mguu mmoja tu, kiwiliwili bado kipo nje!
Tukichelewa tu anazama mazima! Hilo tunalishughulikia.

Hitimisho -
Familia imekupa 72 hrs umtoe ndg yetu kwenye Gudulia vinginevyo litakalo kukuta usije tulaumu.
Patachimbuka!
Mimi katibu wa familia
Judgement.
 
Last edited by a moderator:
Kaka Judgement huyu wife wangu Chocs ananifanya mi mwenyewe niamue kubaki ndani kwa mambo yake matamu🙂

Si waona sasa! walau wana wa familia mawora yatawadrop kooni.
Kuna waliodhani umeshakatwa ulimi na umeegeshwa nyuma ya mlango!
Okey narudisha taarifa nyumbani! Ila huyu Chocs huyu!
Kukufanya kufikia umepoteza link na wa hom!
Au ndy wale wanaowekaga maparachichi ya waume kwenye kisosi !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom