Chochote kilichokosa mpangilio ni cha hovyo

Tatizo mirija ya kaskazini imekatwa.

So wana kaskazini wote wana chuki binafsi maana ndo mipiga dili mikuu.

Na mtanyooka tu, na bado
 
Endeleeni kujifariji 2020 itafika atarudi tena madarakani.

Period.

Litakuwa linchi la mabogus kama watu milioni 50 wote watasema Rais mzuri
Search-For-Significance-4-06.jpg
 
Due!! Kweli nilidhani ni mimi tu niliyezima tv mara tu walipoanza kupokea wanachama nikaona wamechanganya biliani na ugari kumbe hata wewe mkuu kuna aliyesema " kibaya ni kuwa ndani ya daradara harafu hujui unakwenda wapi" ndio tz yetu
 
Mwalimu haingii darasani bila ANDALIO LA SOMO! Mhubiri haingii nyumba ya ibada bila msahafu na vifungu rasmi vya kusoma... Mwanasiasa makini hapandi jukwaani kuhutubia bila kuwa na dondoo rasmi
Haya hayafanyiki kwa bahati mbaya ndio maana hata kwenye vikao na mikutano mbalimbali kuna hadidu rejea na dondoo za kikao
Yote haya si kwa bahati mbaya ndio utaratibu ndio mpangilio.... Ukiwa mhutubiaji toka kichwani ni sawa na kuleta story za kijiweni ambazo hazina mwanzo wala mwisho, ni story za kiwendazimu kwakuwa haijulikani katikati utawaza nini kisha useme nini, mwisho wa siku utaishia kupayuka
Heshima kwako kaka mkuu.
Ushauri wangu kwako na wengine
"WEKENI AKIBA YA MANENO".
kwani bin adam tumeumbwa na hatuna ukamilifu, mkamilifu pekee ni yule alotuumba.
Niwatake radhi kama kuna niliye mkwaza.
 
Heshima kwako kaka mkuu.
Ushauri wangu kwako na wengine
"WEKENI AKIBA YA MANENO".
kwani bin adam tumeumbwa na hatuna ukamilifu, mkamilifu pekee ni yule alotuumba.
Niwatake radhi kama kuna niliye mkwaza.
We always learn from the best! Though they're not 100%perfect just like any other creature under the sun
 
Mbona Netanyahu na trump pale UN walikuwa wakuhutubia pasipo kusomama popote? Kama mtu ni kipanga ni kipanga tu,
 
Back
Top Bottom