Chochote kilichokosa mpangilio ni cha hovyo

Umesema ni stor za kiwendawazimu, je mtu ambae sio mwendawazimu anaweza akasema maneno ambayo sio ya kiuwendawazimu? Au mwendawazimu anena ya kiwendawazimu?
Medulla ya binadamu ni software moja kubwa sana, inategemea unataka nini.. Inakupa unachokitaka
Unaifahamu formula ya GIGO?
 
Tunakwenda wapi Mungu wangu? Kwanini badala ya kuelimika tunazidi kuwa wapumbavu?
IMG-20170923-WA0066.jpg
 
Mwalimu haingii darasani bila ANDALIO LA SOMO! Mhubiri haingii nyumba ya ibada bila msahafu na vifungu rasmi vya kusoma... Mwanasiasa makini hapandi jukwaani kuhutubia bila kuwa na dondoo rasmi
Haya hayafanyiki kwa bahati mbaya ndio maana hata kwenye vikao na mikutano mbalimbali kuna hadidu rejea na dondoo za kikao
Yote haya si kwa bahati mbaya ndio utaratibu ndio mpangilio.... Ukiwa mhutubiaji toka kichwani ni sawa na kuleta story za kijiweni ambazo hazina mwanzo wala mwisho, ni story za kiwendazimu kwakuwa haijulikani katikati utawaza nini kisha useme nini, mwisho wa siku utaishia kupayuka
Definitely
 
sidhani kama mbeleni wanaweza tumia hotuba zake kama zinavyo tumika za mwl.

wajukuu watakuja shangaa tuliwezaje sikiliza hotuba kama izo na kupiga makofi juu
Shida ni kwamba wajukuu watajua sisi na YEYE wote mazumbukuku!
 
Mwalimu haingii darasani bila ANDALIO LA SOMO! Mhubiri haingii nyumba ya ibada bila msahafu na vifungu rasmi vya kusoma... Mwanasiasa makini hapandi jukwaani kuhutubia bila kuwa na dondoo rasmi
Haya hayafanyiki kwa bahati mbaya ndio maana hata kwenye vikao na mikutano mbalimbali kuna hadidu rejea na dondoo za kikao
Yote haya si kwa bahati mbaya ndio utaratibu ndio mpangilio.... Ukiwa mhutubiaji toka kichwani ni sawa na kuleta story za kijiweni ambazo hazina mwanzo wala mwisho, ni story za kiwendazimu kwakuwa haijulikani katikati utawaza nini kisha useme nini, mwisho wa siku utaishia kupayuka
Nimemaikiliza kidogo Leo ameongea kama mlevi wa mataputapu
 
sidhani kama mbeleni wanaweza tumia hotuba zake kama zinavyo tumika za mwl.

wajukuu watakuja shangaa tuliwezaje sikiliza hotuba kama izo na kupiga makofi juu
Wanaanzaje sasa mi hotuba imejaa mimi ni raisi wa wote sibagui vyama. Kama angekua hivyo wala asingekua anasumbuka kulisema daily analisema hilo kwa sbb anajua jinsi gani alivyo opposite. Hizo hutuba zitawafanya watu wapate msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom