Chochote kilichokosa mpangilio ni cha hovyo

Mbona Netanyahu na trump pale UN walikuwa wakuhutubia pasipo kusomama popote? Kama mtu ni kipanga ni kipanga tu,
Walifanya rehearsal kabla na huwa wanapangiwa cha kuongea
 
IMG-20170923-WA0061.jpg
 
Yan hizi hotuba zikijawekwa kwenye sauti utasema hotuba zote zilitolewa siku moja kwenye hafla moja halafu, huoni tofauti hapa anahutubia mkutano wa SSM, hapa wafanyabiashara,hapa wafanyakazi, pale wakulima , yani ni kurudufu tu mahubiri yaliyopita, itafika mahali waandishi watakuwa wanakaa nyumbani na kuandika alichohutubia, mana sasa ineshajulikana kuna maneno lazima ayaongee
 
Umesema ni stor za kiwendawazimu, je mtu ambae sio mwendawazimu anaweza akasema maneno ambayo sio ya kiuwendawazimu? Au mwendawazimu anena ya kiwendawazimu?
 
Jamaa ni lazma atakuwa mgonjwa tu huyu, unajua matatizo mengine ya akili huwa deep sana!?

Sasa Pombe akipimwa hakyamungu haponi!!
 
Back
Top Bottom