Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149
Kwa msiyomjua huyu ndio Matson chizi mtuhumiwa wa utaalam wa kuiba kura wa ccm aliehamia chadema na lowassa

1.jpg


Matson chizi mwenye shati la blue

IMG_1080.JPG


Chizi akiwa na wagombea wa chadema siku ya kuchukua fomu tume

Chizi+bweri.JPG
 
Vita vimehamia upinzani huyu chizi anaitwa nani?
 
Vita vimehamia upinzani huyu chizi anaitwa nani?
Anaitwa MATSON CHIZI,NDIO JINA LAKE,SEMA LINATAMKWA CHIZII KUWEKA STAHA,LAKINI NI CHIZI TU,ALIKUA MKURUGENZI WA UCHAGUZI WA CCM KABLA YA KUONDOLEWA NA MZEE MANGULA ALIPORUDI LUMUMBA,NOW NDIO MWAKILISHI WA CHADEMA KWENYE MIKUTANO YOTE YA CHADEMA NA TUME YA UCHAGUZI,UKIFUATILIA VIDEO YA KIKAO CHA TUME NA VYAMA KUPANGA TAREHE NA MAHALI PA KUFANYA UZINDUZI KWA KILA CHAMA HUYU MZEE NDIO ALIIAMBIA TUME ETI CHADEMA HAITAKUA SEHEMU MAALUM SIKU YA UZINDUZI ITAKUA ENEO ZIMA LA DAR,KAULI AMBAYO KIDOGO ISABABISHE CHADEMA WAKOSE UWANJA WA KUFANYIA UZINDUZI WAO
 
Chizi ndo asset pekeyake kutoka ccm. FBI huchukua hackers na kuwaajiri ili wawafundishe mbinu mpya za hacking..chadema pia ingemchukua ilu kujua mbinu, si kuiba kura
 
hakuna mganga asiyejua uchawi.. atatwambia namna gn wiz hufanywa km ni kweli ili tuweze kuziba mianya yote ya wiz wa kura
 
chizi ndo asset pekeyake kutoka ccm. Fbi huchukua hackers na kuwaajiri ili wawafundishe mbinu mpya za hacking..chadema pia ingemchukua ilu kujua mbinu, si kuiba kura

imchukue mara ngapi na ndio yuko chadema tayari na anaiwakilisha chadema kwenye mawasiliano yote na tume ya uchaguzi
 
hivi Dr. ndio yupo low hivi ameamua kuwa mdaku? kweli adui akiamua kukushambulia hachagui silaha atakupiga ata na jani badala ya silaha zote kwisha
 
hivi Dr. ndio yupo low hivi ameamua kuwa mdaku? kweli adui akiamua kukushambulia hachagui silaha atakupiga ata na jani badala ya silaha zote kwisha

Dr mie nilimdharau 2010 alivyotuaminisha kuwa alishinda Urais ila aliibiwa Kura.Mie hili huwa siamini kabisa mpaka leo.Kwa vile Dr Slaa hakusema alipata kura ngapi na aliibiwa ngapi.Dr anaishi kilaghai pia.Huyu ndo alisema tusimtambue JK ni mtu hatari huyu huenda angetuingiza kwenye machafuko kwa kutaka Urais
 
nikweri lakini wetu loooowasa
tunachotaka ccm dauni ndo lengoletu
 
Dr mie nilimdharau 2010 alivyotuaminisha kuwa alishinda Urais ila aliibiwa Kura.Mie hili huwa siamini kabisa mpaka leo.Kwa vile Dr Slaa hakusema alipata kura ngapi na aliibiwa ngapi.Dr anaishi kilaghai pia.Huyu ndo alisema tusimtambue JK ni mtu hatari huyu huenda angetuingiza kwenye machafuko kwa kutaka Urais

We utakua ni mfuasi wa kikundi cha team lowassa mliojiunga chadema wiki mbili zilizopita,wenzako chadema walikua wanatuambia huyo ndio rais alie kwenye mioyo yao na jk ni rais wa tume! waliamini hivyo
 
Asset haikutosha
Liability pia haijatosha
Kujiuzulu ndio ustaarabu kama mtu hawezi kutekeleza maamuzi halali.
 


10.jpg


4.jpg

kampeni za kijiji kwa kijiji....
wakazi wa kijiji kidogo cha Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.

18.jpg


Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,
 
Back
Top Bottom