Good doctor
Member
- Mar 7, 2024
- 56
- 118
Mbona mimi nakupenda hata sikusumbui #chai anazingua #Hii nzuri 😊
Enhee wewe chai ya rangi kwanini unanianzishia nyuzi hata kama unajua sipendi?
Kwanini unafanya watu wawaze hiyo I'd yako ni yangu na pengine nataka attention
Umeshindwa kunitafuta privete?
Wallah unanikwaza
Najua pengine ni utani ila uishie basi kwa comment sio kuanzishiana nyuzi🙏
chai ya rangi kama kweli unanipenda kwanini husikilizi nachosema 🤔