Chitchat camp wacheni umbea! Mpumue

Hata wewe hujawahi kunipm loo
..hahahahahaa..mie picha sijampiga mtu..pia nilikua na kifaa maalumu picha ukipiga haitoki...hahahaha..halafu nilivaa ushungi..kuzipa face...ila km ziko...nitazipata tu...mambo vipi lkn..mzim wewe..naona umemiss PM
 

ehe! Umeyajuaje yote hayo?
 
Last edited by a moderator:

Copy: Madame B na Arushaone
 
Last edited by a moderator:
can you justify your accusations dear?? am trying to think kwa nini umeelekeza tuhuma zako moja kwa moja CC, nahisi utakuwa na NIA nzuri maana hata mimi nachukia sana watu wazushi na wambea...

 
Mi mwenyewe sina picha ya kwanza nlipiga graduation,ya pili ntapiga kweye gra duu NBAA ya tatu kwenye kitchen party yangu ya nne kwa harusi yangu.
Tano Mungu akijaaliwa nikiwa na tumbo la kutotoa.
Ya sita nitapiga mi na mtoto wangu.
Saba mi mtoto wangu,babake.
Baaaas sasa nitakuwaje na pix za watu wakati mi nikipigwa mashetani yanapanda?he he ila passport size photo zao ninazo nakupm sasa hivi
naogopa utanitumia picha za WP,...hahahahaahahaha
 
..nimependa hiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…