Chit-Chatua hii picha

Chit-Chatua hii picha

uzimie...?
ilipozama mbona hukuzimia..?
shemejii...hw are you!!!

Am gud shemej.. We unashangaa kuzimia chezeiya kufumaniwa shem.. Tena namna hiyo huna hata cha kujitetea..
 
Ningekua huyo mwnamke,ningekufa kwa muda!
 
...jiweke kwenye nafasi mojawapo kati ya hawa watatu...
then utoe mawazo yako (ki-chit chat zaidi) au hata kiuhalisia pia...
Hiyo makitu ukiyazoea unakuwa adiktedi. Makitu hayasimami mpaka ukutane na n'ke ya n'tu.

Chezeya adikshen??

attachment.php
 
Tutanogewa bhana ......
Halafu tuchonge mzinga kabisa......
Si unajua utamu wa asali aujua mlambaji............

Nitakupa Nusu ili Usinogewe.
Na endapo utapenda kuendelea,nitakutoza pesa.
Uko tayari Kimbweka?
 
Last edited by a moderator:
Tutanogewa bhana ......
Halafu tuchonge mzinga kabisa......
Si unajua utamu wa asali aujua mlambaji............

Nitakupa Nusu ili Usinogewe.
Na endapo utapenda kuendelea,nitakutoza pesa.
Uko tayari Kimbweka?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom