kwa kweli kabla sijaingia chit chat huwa naswitch off kichwa na kuswich ON mkia.
Laa sana.
hat kuna wizara nyingine ukichaguliwa kyuwa waziri unakuwa kama uko benchi vile.....Naomba kuuliza: Ina maana Mod wetu RR ni ametuzidi wengine kwa u-bongo lala mpaka akatunukiwa u-mod?
hakuan muda wa story wewe bongolala.....ndio maana mijitu inakuja kwenu na kuwaibia mali zenu mnabaki kukenua meno na kukuza vitambi.....endelea hivyo hivhyo BTW big up arifuyan wewe ndio bongolala kabisa coz uko chit chat na unawaponda wanachit chat...umesahau kuwa kuna muda wa siasa na story...think big
arifu kama unaona nikomba radhi basi hutakuwa bongolala basi naomba radhi.....Yo Yo tuombe radhi wadau wa chit chat!
ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
sema na yakwangu Erickb52
Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.

Arifu.....Lisa binti yangu ananiambia nikuambie uwe unatumia akili kuandika na kufikiria....
ha! ha! ha! ha! ha! arifu unatafuta umaarufu JF??? jenga jina kwa Mungu ili upate makao mema mbinguni......Anadhan kuwa watu wote ni vilaza kama alvyo yeye. Anachojua yeye ni kuingia katika Jukwaa la Siasa na kuandika urojo unaomsababishia ban
kwa kweli kabla sijaingia chit chat huwa naswitch off kichwa na kuswich ON mkia.
Laa sana.
Lisa analia aisee yaaani machozi yanamtoka kila akisoma post yako analia.....analia akikuona huu mtu mzima alafu unaongea pumba...yaani aisee ungemuona ungemuonea huruma....arifu nakuomba usiandike tena pumba aisee Lisa akisoma analia sana....anasikitika muno muno.....muonee huruma binti yangu....Members wengi waliopo Chit Chat ni Premium Members(Wale wanaoichangia na kutoa michango mbalimbali ili JF isonge mbele) sasa wewe Yo Yo daily unaandka urojo hata huchangii. Unajaza server tu.
Bishanga mie ndio nshaitikia wito,Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.
Wadau wa chit chat i can tell you wengi wao ni majinius na ndo mana wanakuja chi chat kutuliza bongo zisi ovahiti.
Hahahha ahahha hahha,..kwa kukuongezea tu..huku Chit chat...watu wanafamilia zao...kuliko huko kwenu kwenye siasa...
...mtu kama Rejao.. yuko huku na huko kwenye siasa..na huku na kigoli chake.. Cantalisia.. Saint Ivuga na Mwali....
...