Gaijin hapa hata mimi umenikosha kweli kweli lazima niziweke kwenye maktaba yangu ya muziki
jamani Gaijin asante sana ticha naona hii mambo ya chapati mmh
jamani Gaijin asante sana ticha naona hii mambo ya chapati mmh
FirstLady wa ukweeeh!...hebu jitupie na haya makitu matatu hapa chini
....kitu cha Adele...some one like you...
...kitu ya LMFAO...um sexy and i know it...
...afu kitu ingine ya Adele...set fire to the rain...
stress tupa kule mama...life is so brief...make the most of it!
Gaijin wajua mwenyewe kizuri chajiuza lakini ha haVipi Mamaa wa kwanza- FirstLady1 , chapati zako hazigombaniwi kwani? :eek2:
Kwa mujibu wa uzi wako,wimbo unaokufaa niiii.............
"HIT 'EM UP..." Wa Tupac Amaru Shakur ...!!
Hahahaha!!! Gaijin una vituko wewe..lolVipi Mamaa wa kwanza- FirstLady1 , chapati zako hazigombaniwi kwani? :eek2:
The FinestAu huu hapa najua pia utakukosha roho yako FirstLady1 maana Kidumu huwa hakosei kabisa najua afrodenzi na Erickb52 hawachomoki kwenye huu wimbo
kidum : kichuna - YouTube