Heshima wana chit-chat,
Baada ya jana kujumuika na wanajf hasa wa jukwaa letu pendwa la chit-chat pale Kebby's Hotel nimefurahi sana.Kwa mantiki hiyo naomba kukaribishwa katika jukwaa hili maana nilikuwa mgeni wa kupita na kusoma bt since jana nimekuwa active member.
Hakika chit-chat ndo mpango mzima mana jana tumefunika mbaya.
Asanten wakuu.
Usistuke bidada ila furahi kupata ugeni,umesahau mgeni njoo mwenyeji..........Mpaka nkiona mgeni nashtuka
Karibu kwenye uwanja wa joka kuu lenye ndimi mbili...
Raha kweli kweli!
Haya mwambieni Chachu Ombara akuye pande hizi ili apate kaguliwa kwa ufundi wa kipwani na mwanamke rijali, Madame B.
Haya mwambieni Chachu Ombara akuye pande hizi ili apate kaguliwa kwa ufundi wa kipwani na mwanamke rijali, Madame B.
Nshafika mwanamke rijali,nikague taratibu sehem zote lol.