Leo tumeanza rasmi leo. Bado naendelea kufunga na kuliombea jambo hili kulifanya lipate kibali machoni mwa BWANA na likawe chachu ya mabadiliko ya mioyo ya wana CHIT CHAT.
Leo tunaanza na wimbo huu
"TUFANI INAPOVUMA SANA"
Maisha yetu yamejaa tufani na msongo wa mawazo. Majumbani na makazini kwetu hamna amani ya kweli na wala hamna upendo wa kweli, ni TUFANI.
Bila YESU hatuwezi kushinda.
Tufani Inapovuma
Tufani inapovuma,
Sana moyoni mwangu,
Huona pa kujificha,
Mkononi mwa Mungu,
Afadhali umeirudisha tena hapo sasa tumeelewana best ila mm nitakuwa Mwalimu wa hilo kundi kwani nafaa sana kuwa teacher wao kuwaongoza sauti ya arto, ternal, saprano na sauti nyingine na kuwaweka katika note viilivyo