Chit-Chat ndo nini?

Chit-Chat ndo nini?

Kuwa mtulivu,humu ndani kila mrembo ana mtu wake,ka vipi jiandae kupewa za uso.
Kopi: Kongosho......huyu bwana ole wake atongoze mtu hapa

PANcrease nae wa kwako?
Kama jibu ndiyo basi amemuflisika!
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nilisema kama huna taulo ucje bafun
# via clasic maswal na mizinguo
 
angalia usije ukazalishwa mchana kweupe

kwani we mkunga mama? Ama una maana gani? Unajua hizi biashara za kutowauliza mama zenu vizuri unaweza kuta unabishana na babako mzazi humu, halafu tena uko Mwanza?? Muulize mamiyo kwanza, sawa mamaa?
 
tatzo la malez ya pande moja
 
Back
Top Bottom