Chit - Chat member mpo wapi

Badae nilitoa ID fake ya TIS wakamuachia
Erickb52 pale police central ya kati ulitoka muda gani maana yule askari alikung'ang'ania kinoma eti bila laki hakuachii wakati mfukoni ulikuwa na nauli ya daladala tuu
 
Last edited by a moderator:
Hako kametumwa na mkubwa wake ndo maana kanadadisi sana!

Heheheee kametumwa ila kanaambulia patupu lol
Vip hitaki muhimu tayari au bado unangoka ngoja kwanza?
Karibu kaugali na kambusi
 
Unamitego! Leo hunatani na mtu wewe. Kalipe kwenza deni
Heheheee kametumwa ila kanaambulia patupu lol
Vip hitaki muhimu tayari au bado unangoka ngoja kwanza?
Karibu kaugali na kambusi
 
Erickb52 pale police central ya kati ulitoka muda gani maana yule askari alikung'ang'ania kinoma eti bila laki hakuachii wakati mfukoni ulikuwa na nauli ya daladala tuu

Hahahaaaa umekuja mwenyekiti?
ilibidi sweetlady na Kipipi waje kunilipia kwa mashart nafuu lol
Vip badae wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nimeshatuma maombi PM zote zinazotumwa na ID mpya kuja kwangu, ziwe zinaenda kwa Invisible na kwako!
Hii itasaidia maana hutu tujamaa tunasambazaga stress hadi vinaleta BP kwa watu. Umemuona Mr Rocky amekuja na mjungu yake?
 
Last edited by a moderator:
sweetlady mekumiss
Xmass yote umenichunia au kwa vile nitonye alirudi toka machimboni
Mie pia mekumiss sana Mr Rocky , bado nna ndyofu zako tatu hapa, nambie unapatikana wapi nizilete chapu!

Kukuchunia wewe itakuwa ngumu bana, wewe mwenyewe wajua na moyo wako ni shahidi .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…