Chit - Chat member mpo wapi

Chit - Chat member mpo wapi

[QVUOTE=Tchort;5309853]Duh! Pole zao, kwani hakuna hata zile internet cafe[/QUOTE]

Vocha za simu zenyewe zinazingua sembuse lnternet!
 
Watu tuko tunanatiana ye anatuitaita huku utadhani hajui hali ya hewa leo inaruhusu kuligoff

anapenda kuharibu siku za watu huyu,watu tupo tunafyongonyolana huku yeye anatuitaita
 
Wapige mkopo' na hari itakua mbaya sana na ivi watu walilipwa mishahara tare 15 kwaiyo wasubiri hadi mwakani tarehe 20
[QVUOTE=Tchort;5309853]Duh! Pole zao, kwani hakuna hata zile internet cafe

Vocha za simu zenyewe zinazingua sembuse lnternet![/QUOTE]
 
Wewe unafyongolana na nani uku upo hapa Jf

watu na vipaji vyetu bana, nnekamata kakuku ka kienyeji hapa maeneo ya mama john na baridi ya mbeya hii raha kwelikweli,ni kufyongonyolana kwa kuruka vihunzi
 
Erickb52, umesema unapumzika kumbe una madeni ndio maana unajifichaficha, huyu Baba V huko mbea kakosa mtu yupo mtaani anatanga tanga tu
Si ndo hapo Baba V ila tumsamehe tu vitakuwa viroba vimemzidi
 
Last edited by a moderator:
watu na vipaji vyetu bana, nnekamata kakuku ka kienyeji hapa maeneo ya mama john na baridi ya mbeya hii raha kwelikweli,ni kufyongonyolana kwa kuruka vihunzi
Hahahahahaaaaaaaa
 
Nitajua askali polisi wamekunasa, umefikishwa kituoni ili ulipe lile deni la tax drive
We sinilikuambia sisi tuko mapumziko?
Ukiona nimepotea usihangaike kuntafuta ujue nimeshanatiana tayari
 
Erickb52, umesema unapumzika kumbe una madeni ndio maana unajifichaficha, huyu Baba V huko mbea kakosa mtu yupo mtaani anatanga tanga tu
Kakamata kakuku ka kienyeji huoni anakosea spelling?
Yuko ananatiana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom