Hiyo ni bush philosophy! Akiweka madawa ya kulevya kwenye pochi yake hiyo ni privacy yake siyo?Mwanaume rijali alofundwa hapekuwi mikoba ya wanawake wewe....We ungefurahia upekuliwe wallet yako??Heshimu privacy ya mwenzako ndo uhusiano wenu utadumu...
Hio itakuwa lawama yake we haikuhusu....hilo ndo tatizo letu watanzania vimbelembele sana ka ushuzi wa ngomani....Mkoba wa watu lakini umepekura na bado kinganganizi mmhhhh....kizaizai...Hiyo ni bush philosophy! Akiweka madawa ya kulevya kwenye pochi yake hiyo ni privacy yake siyo?
Ndio ni kailinishi kwenye mambo ya 6*6Sexual lubricant mimi49? Ooooh! Napata kitu hapo! Asante.
Nitumie naye? Sina chunusi miye!
Sijawah kusikia ky jelly ni dawa ya chunusi.. Huyo kakudanganya.
Ndo maana nilikataa ME wasichangie hii thread. Angalia hizo kashfa, kejeli, na masihara!Ukome wewe ulijua mke kwenye poch katia chips au?ndo ukome kua nakiherehere.unaomba lift unataka upige na honi.nyie ndowale unaenda kwamtu unaanza kuchezea tv zawatu.nk.fata yalokupeleka.alaaah
mimi49, Ninakuheshimu sana! Mimi sina kimbelembele kama ushuzi wa ngomani. Curiosity is a normal human trait.Hio itakuwa lawama yake we haikuhusu....hilo ndo tatizo letu watanzania vimbelembele sana ka ushuzi wa ngomani....Mkoba wa watu lakini umepekura na bado kinganganizi mmhhhh....kizaizai...
Ky hutumia hospotalin pia kwa wagonjwa kwa ajili yakuingiziwa mipira ili wapate haja kiuraisi.Huenda chunusi zake huwa zinaingizwa mipira
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums