Chit - Chat Juu ya hili mawazo makini yanahitajika

Wewe nitakutana hapa' we mama! Mie, nimeacha pumba toka asubuhi'
Ndipo upeo wako wa kufikiri ulipo ishia!
Unawaza ngono na kunyonyesha tu.
Kama kuwa verified kunapunguza pumba,basi wa kwanza aliye stahili kuwa verified ni manoah.
 
Last edited by a moderator:
Dah' ebu hesabu 1 hadi 9, ni ivi' hilo limekua gumu' nimetafiti, nimegundua member wapya ndio tunaanzisha thread za kijinga' basi member wapya wote wawe wanalipa wanapo taka ku post' au post zao ziwe zina kaguliwa kabla ya kuziachia
Sidhani kama unaelewa unachokiandika. Hujawah kuona Premium Memberz wanaandika ***** na wanapgwa ban?
 
Kazi ipi? Wale ambao ni wageni wawe wanalipa, maana wageni ndio tumekua tuna post ujinga sana

Wageni wenyeji kama desh desh :becky::becky:?

Unajua ukiwa mgeni mwenyeji ni rahisi sana kugundulika? Ipo sehemu utajisahau tu....
 
Ukome. Bange haijawah kuwa mbaya abadani.. Baadh ya wavutaji ndo wabaya. Hata King'asti anajua hili
baelezee baelezee!
Huyu manoah majuzi hapa alianzisha thread ati mie na wengineo ni kero.humu jf. Nikamdeku tu, nikajua kafulia. Kama sio kapata boom. Hivi manoah unasoma first year ama form six ulishagraduate?
 
Last edited by a moderator:
Ivyo ivyo wawe wanalipa' maana mtu anafungua acount ili tu aanzishe thread ya kijinga then anaipotezea acount' au post za wageni ziwe zinakaguliwa kwanza kabla hazija achiwa jukwaani
Wageni wenyeji kama desh desh :becky::becky:?

Unajua ukiwa mgeni mwenyeji ni rahisi sana kugundulika? Ipo sehemu utajisahau tu....
 
baelezee baelezee!
Huyu manoah majuzi hapa alianzisha thread ati mie na wengineo ni kero.humu jf. Nikamdeku tu, nikajua kafulia. Kama sio kapata boom. Hivi manoah unasoma first year ama form six ulishagraduate?

Huyo Bishanga ana aibisha mjani.
manoah anasumbuliwa na utoto. Akikua ataacha.
 
Last edited by a moderator:
Sikupata bahati ya kusoma' kwaiyo am noting fom foo or fom six' wala gradueter..
baelezee baelezee!
Huyu manoah majuzi hapa alianzisha thread ati mie na wengineo ni kero.humu jf. Nikamdeku tu, nikajua kafulia. Kama sio kapata boom. Hivi manoah unasoma first year ama form six ulishagraduate?
 
baelezee baelezee!
Huyu manoah majuzi hapa alianzisha thread ati mie na wengineo ni kero.humu jf. Nikamdeku tu, nikajua kafulia. Kama sio kapata boom. Hivi manoah unasoma first year ama form six ulishagraduate?

Nimekumisije aisee? Wageni wenyeji hawa
 
Back
Top Bottom