ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
usijisahaulishe na ile.posa ya kuleta kwa Mtambuzi.
Dedication yako: kalubandika
Shemeji shemeji ungehama tu kiwanja aisee. Unakuwa kama ccm? Ndoa.ingekuwa kwa.kura wallah ungechakachua. Pole weeeh.
Hebu niteme mie namsubiri Slave anajiandaa twende zetu bakurutu....!!!!!
Akhuuu, mie hauniwezi. Nna mume mmoja tuu Paw, na alinifungua kwenye makaratasi. Nna kidumu kimoja tuu Don Mangi. Staki tabia mbaya mie.