Chit-chat imetokea kuleeee.

Upashe kwani umekula lini wewe!!!!! teh.....

mamito upo jamani? Mwenzio sina khari kama msosi mie ugari harusini watu watatahayari kujificha jukwaa la chini mie bure nitagongwa gari mie nitagongwa gari
 
Hebu niteme mie namsubiri Slave anajiandaa twende zetu bakurutu....!!!!!

vaa kabisa ile red med na zile roso nilizo kuletea nami hapa nanyuka shati langu la juliana suruali ya michael jackoson na viatu travota hehehe!
 
Last edited by a moderator:
hahaha umeonaee? Natamani siku ya ndoa apewe kiticha mbele kabisa maana nitafurahi sana nitakapo muona akichuruzika mate kama fisi alie ona mzoga.

kukaa haitoshi anaeza ondoka mambo yakiwa magumu.....
Dawa ni kumpa kishughuli cha kufanya sijui awe mpiga picha au wasemaje?
 
babuuuuuuu shusha munkari BP Itapanda bure uwape wakezo shida bure!!
Umeona eh? Ndio maana ulivotaka kujitoa JF nlitaka nijitie kitanzi. Si unajua niko kwenye maandalizi ya kuleta posa kwenu?

Mkuu wewe unajua vizuri! Mie ni si mtoto wa rika la akina Muumini! Hao Super Matimila tumecheza nao sana Matimila Bar hapo Mwananyamala! Hao MK Beats tumecheza nao sana hapo Kilimanjaro hotel, ngoma za magorofani! Mkuu mie sio wa leo kabisa!
Ulinishangaza mzee mwenzangu ulivosema enzi za vijana jazz tulikuwa tunasikiliza radio ya Kenya. Hawa vijana wa Juzi kina Eddy Sheggy, Adam Bakari, Hemedi Maneti et el bado nasikiliza KBC? Enzi za KBC walikuwapo vijana kina Marijani Rajabu, Muhidin Gurumo, Kassim Mapili, Remmy Ongala, Hassan Rehan Bichuka, Kassim Uvuruge..... (Bob Mallya) et el..... we vipi bana...... :becky::becky::becky::becky: Unaikumbuka The Mushrooms band na Kibao chao cha At The Carnival?:majani7::majani7::majani7:
 

usijisahaulishe na ile.posa ya kuleta kwa Mtambuzi.
Dedication yako: kalubandika
 
Last edited by a moderator:
usijisahaulishe na ile.posa ya kuleta kwa Mtambuzi.
Dedication yako: kalubandika
Eti?😛op2:😛op2:

Oh Celina piga konde moyo oh Celinaaaa
Oh Celina utafanikiwa oh Celinaaaaa:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Eti?😛op2:😛op2:

Oh Celina piga konde moyo oh Celinaaaa
Oh Celina utafanikiwa oh Celinaaaaa:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Kweli ya kale dhahabu! Umenikumbusha Sikinde! Hapo Maalim Ngurumo alikuwa kwenye peack!
 
Kweli ya kale dhahabu! Umenikumbusha Sikinde! Hapo Maalim Ngurumo alikuwa kwenye peack!
Kuna kitu "lifti" unakikumbuka?

..... Gari iliniharibikia.....
..... Yule kijana alinisaidia kusukuma, mume waaanguuuu.... ooooohhhh o maamaaa...

......Kilichonishangaza siyo liftii mama watoto,
......Ni tabasamu na vicheko vilivyokuwepo ndani ya gari.......

Au kuna ile makitu ya Maximillian Bushoke na BIMA LEE ORCHESTRA

Mesenja kaleta balaa nyumbani kwa meneja bila kufahamuuuuu
Siriiiii imefichuka.....

Wakati huo demu wako anayenichuna amu alikuwa bado kuzaliwa.
 
Last edited by a moderator:

Asikwambie mtu aisee, kweli muziki ulikuwa zamani, sio hawa wa siku hizi ambao kuimba hadi waweke mkono katikati ya miguu sijui wanakuwa wanashika na ile mic ya chini!?? sielewi ati
 
Last edited by a moderator:

Hicho kitu cha Bima kilikuwa kabla ya Bushoke kuhamia DDC! Halafu huyo amu ni kichocheo cha kuniharibia tu. Nikisha mu'import' mara moja, namu'export' kesho yake!
 
Last edited by a moderator:
Asikwambie mtu aisee, kweli muziki ulikuwa zamani, sio hawa wa siku hizi ambao kuimba hadi waweke mkono katikati ya miguu sijui wanakuwa wanashika na ile mic ya chini!?? sielewi ati

hahahaaa! Asee inawezekana!maana hata mie huwa nawaona vijana wa leo akina Vin Diesel na misemo yao ya yo!yo! Yo! Huku wanachoma choma vidole vyenye sign ya freemason.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…