Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,762
- 14,005
hii dibeti inahusu nini haswa?
inahusu kingredha..
hii dibeti inahusu nini haswa?
Nikuelekeze anapoishi ukamsutie kwake....???
Kufunga kwao kila uzi kunaleta mashaka
Hususan uhusiano wao na mtuhumiwa????????
Maana si wangeweza kuedit au kuondoa comment wasizozitaka???
Kufunga kwao kila uzi kunaleta mashaka
Hususan uhusiano wao na mtuhumiwa????????
Maana si wangeweza kuedit au kuondoa comment wasizozitaka???
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly dispuised chicanery exposes a poor attempt-if not grave wanton for respect of individualr7-at humorous screndipitous eccentriaties of piddletienthide proportions.
Si ndo hapo sasa au ana hisa!! LOL
Na kule kwengine nako nimeenda nilivyowamention tu na kauzi kakafungwa dah!!
Kama wanaona haya mambo yanawaudhi wawe wanaanza na wanaoyaleta sio wanaacha mtu anasemwa weee alafu akitaka naye kujitetea kuhusu hizo shutma wanamfutia topic.....wananiudhi kweli!
Cc: INNOVATOR
Siku nyingine uwe na adabu usipende kutaja taja majina ya wake za watu humu jamvini bila idhini ya waume zao. Over.
Fungua mwingine jukwaa la chef kule mods hawapiti sana...
Mumeo tayari ameshaombwa idhini na amekubali.
dah mi me ndugu take it au unataka nifanya shemale ?
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly dispuised chicanery exposes a poor attempt-if not grave wanton for respect of individual-at humorous screndipitous eccentriaties of piddletienthide proportions.
Kiranga ni nani yako?
Vipi mkuu nawe umeona kama kagandamizia mahala alipoandika Kiranga ee?
Vipi mkuu nawe umeona kama kagandamizia mahala alipoandika Kiranga ee?
Maandish kama Yale yapo kwenye Uzi wa debate kati ya mwita25 na kiranga
Nlishaandaa mavitudhii et wameufuta uzi jaman
Kiranga ni nani yako?