Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
TOPIC: "In a relationship Love is more important than money?"
Mhhh huu uzi hautafika popote
Ninaposema kutofika popote sizungumzii uwingi wa comments bali nazungumzia kutimia kwa lengo la Uzi, sidhani kama wahusika watashiriki kwa namna ambayo ungependa washiriki
Vitu kama hivi vinahitaj ujasir mkuu
Kuna kushindwa na kushinda... Kwenye kukubali kushindwa ndio pagumu
hii dibeti inahusu nini haswa?
Nlishaandaa mavitudhii et wameufuta uzi jaman
Nlishaandaa mavitudhii et wameufuta uzi jaman
Hivi mods wanatumia vigezo gani kufunga uzi????
Debate inahusu nini
Tunasikitika thread imefungwa tu
Yan wanaudhi.....nlivo na mzuka natama nianze kuwasuta waoo maana wanamtetea sana yule jambaz la kike
Na kesho lazima wasutwe wao wanatabia mbovu sanaa yan apa nataman tulianzishe hukuu