Bob Fern
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 900
- 132
Hii ni baada ya Libolo kuitupia Simba 4 sasa inaenda kukutana na Chipumbu nani atakua mkali zaidi ya mwenzake.
Copy: Mashabiki wote wa Simba walio henyeshwa na Liboloooo...!!
*****!

Haya kuhusu, na kama unaona utoto huna haja ya ku comment, ku quotes wala kutoa like, bali unge upotezea uzi kama auoni vile
Nicas Mtei si hiyo picha ulivyo piga nimeona umeonyesha:rockon:Ha ha ha... Kwa nini Slave?
ummu kulthum jf imekuaje tena hahahaa mmmweh!!!!!!!!!teh teh teh!!jaman jf aaaaaaah
*****!
Asante sana.Ubarikiwe!!!
nipo huku nilikwama huko kwenye foleni....Rich woman umemuona wapi?
Hii ni baada ya Libolo kuitupia Simba 4 sasa inaenda kukutana na Chipumbu nani atakua mkali zaidi ya mwenzake.
Copy: Mashabiki wote wa Simba walio henyeshwa na Liboloooo...!!
Haya kuhusu, na kama unaona utoto huna haja ya ku comment, ku quotes wala kutoa like, bali unge upotezea uzi kama auoni vile
ummu kulthum jf imekuaje tena hahahaa mmmweh!!!!!!!!!
nipo huku nilikwama huko kwenye foleni....
hatujahenyeshwa tuliwaachia wakapambane kati ya yai na kuku nani zaidi
sasa naona FC Libolo inaleta matatizo mengine
wataungana km ilivyoumbwa, chipumbu ataning'inia chini ya libolo kazi kwisha
Talaka inakuhusu
Mweeeeeeeeeeeeeeeeee
ila nilisema uje kuleee umegomaMweee ya nini hapa! Umesahau wajibu wako kwangu
ila nilisema uje kuleee umegoma