lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 223
- 856
unapotosha kwa kufahamu au kutokufahamu.Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi...
Ni sheria ipi inaruhusu watoto wadogo kujihusisha na shughuli za chama cha siasa?unapotosha kwa kufahamu au kutokufahamu...
Kwan hao watoto ni wanachama au chipukizi wa chama?
Watoto watabaki watoto tu....
sio sheria ipi tu...Ni sheria ipi inaruhusu watoto wadogo kujihusisha na shughuli za chama cha siasa?
CCM kuvunja sheria au katiba siyo issue kwaoKwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Sheria zipo ajili ya wapinzani na wanyonge kwa TanzaniaWaziri mwenye dhamana anasemaje kuhusu hili hebu mum tag
Ova
Hakuna hata moja ni ujinga na uvunjifu wa sheriaNi sheria ipi inaruhusu watoto wadogo kujihusisha na shughuli za chama cha siasa?
Tunayoyaona kule Sudan na makundi mengine ya kigaidi ku recruit watoto ndiyo tunaanza kuyashuhudia ndani ya ccm ya sasa.Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Tangu mwaka 2015 CCM ipo ju ya Sheria.Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Umeelewa lkn point kuu ya mleta mada?, mleta mada amefafanua hadi vifungu vya sheria ya vyama vya siasa inayokataza watoto kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, iweje CCM inahusisha watoto kwenye kujijenga?sio sheria ipi tu...
bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....
Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..
sio kulalamika tu