Chips nyama 8000 Singida Hotelini

Ili kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.
Hahahahaha mpango wako ni nini hasa?
 
Ili kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.
Yaani hapo ukija kupiga kombora, atomic haifui dafu hapo.
 
MTOA MADA NDO WALE WATU WAKISAFIRI MAINDI YA KUCHEMSHA TWENDE MAYAI YA KUCHEMSHA TWENDE MAKANDE TWENDE SIJUI KOROSHO KARANGA BAGIA AKUNA KITU ANAACHA ALAFU ULIYE KAANAYE AKUNA RANGI UTAACHA ONA IYO SIKU
Hapana mkuu,Safari ndefu utakula tu ikibidi,kwa Leo nilishindwa.Roho imekataa bei yao maana haviendani.Uza bei sana na ongeza ubora sana.
 
Tunapaswa kufikiri upya kwa tunao safiri, bei ya vyakula ipo juu sana. Wanaongeza mara mbili au tatu, sijajua wao ndio wanalipa kodi kubwa kuliko wengine au wanaona wasafiri wana pesa za kutosha!
 
Uwe unatembea na jiko, mchele, mboga, wakisimama kula na wewe unawasha jiko, unapika
 
Huu upumbavu watu wameshalalamika sana, yan jamaa wanatuonaga kama watalii aisee.
 
Pengine haupo updated,
Mabasi mengi nw days hawaruhusu watu kula kwenye basi sababu ya uchafu.

Unaposema watu wanaendekeza kula njiani sidhan sana upo sahihi, hilo ni swala la personal choices kama vile wewe unapoamua kupika nyumbani na kusafiri nacho- Ni choices zinazokuwa executed in different modalities.
 
Naona watu wengi wanamsiliba mtoa mada kwa maneno ya fedheha lakini lets be realistic. Hilo suala sio sawa. Hata kama mtu ana options za kuka sijui biakuti na soda, kuna watu kwa mfano wagonjwa wa kisukari, je na hao pia wafanyeje? Ndio tuweke utani lakini while we are at it tuliangalie hili pia maana hii ni platform kubwa. Hakuna justification ya wqo kuuza chakula 8000 na zaidi kwa kitu ambacho thamani haifiki hata 3000.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…