chinese!!!

as long as Chinese kwa kiswahili ni Kichina au Mchina basi na hiyo mboga itaitwa hivyo hivyo...
 
tuletee picha ya iyo chinese ili tuone na kutofautisha jamani mana kha!
 
Judgement mimi sizungumzii uchumaji mboga. ... nazungumzia aina ya mboga tafwadhali.....
 
Last edited by a moderator:
basi nimempigia mtu simu kanijibu mchicha wa kichina mie nimetaka kufwariki hahhahahhaha jamani duniani kuna mambo
 
mgagani ni ile mboga chungu hivi.... figiri siifahamu

Baba v wewee nawee?
Unan'tia aibu! Umri huo figili huijui ?
Nway tutakuelekeza eventhough you provide us an extraordinary works !
Nachoshkuru umekuja jeiefu ukiwa unajua taa izimavyo wakati wa kuparika!
Azawaiz ingekua awa anaza responsibilite .
 
figili(sio figiri) ni horseradish.....hiyo mgagani ni huko kwenu Nanjilinji ndo mnaikula....huku Yorkshire hatuijui.....

Lonely im so lonely......!
Preta Miss you love
 
Last edited by a moderator:
figili(sio figiri) ni horseradish.....hiyo mgagani ni huko kwenu Nanjilinji ndo mnaikula....huku Yorkshire hatuijui.....

Asa wewe Preta utafaa sana kuwa refa ktk yale maenjeksheni anayoanzisha Mphamvu!
Coz nimekukubali hauachii rafu nyepesi na nzito we ni kipenga tu! Offside ndiyo kabisaaa!
Hata likizidi banzi la mchezaji unapuliza!
Huna mpinzani ujue?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…