Chinese Man Grabs a Police Gun During His Arrest in Kenya

Neter

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
698
1,115

Chinese Man Grabs a Police Gun During His Arrest in Kenya

A Chinese national has been arrested and his paper recycling company, Benco Investment shut down in Kenya after the countries Water Resources Authority conducted an unexpected pollution crackdown following a complaint of by local residents. The Chinese businessman was arrested for directing raw sewage and industrial chemical waste into the Chania River. In the video, police attempt to arrest several men including the Chinese man, but he quickly grabs the gun from one of the officers. The security officers try to calm him down but he is infuriated. The Chinese company has been closed indefinitely and the Chinese man is expected to be charged with the same
 
Ngozi nyeupe zinaogopwa Sana, Mtu mhalifu bado anataka kupora SILAHA kwa Askari ili awaue!! Halafu wanampeleka bila jeraha lolote!!! Halafu kwenye GARI anakaa mbele badala ya kwenye bodi nyuma!!!
 
Nimeona Tatizo La Wazi Wazi Kama Ulivyoona Wewe Mkuu
Yaani Angefanikiwa Kuchukua Silaha Lazima Angewaua
Wamempeleka Kama Bwana Harusi

Alitakiwa Awe Amepata Tabu Sana
Amepigwa Amechakaa

Halafu Alitakiwa Kupakiwa Nyuma Huku Askari Amekanyaga Tumbo Lake
 
MK254 embu uje na huku uone huyu mgeni anavyo nyanyasa polisi wenu

Acheni kauli za kibaguzi, hapo amenyanyasa polisi kivipi, ulitazama hiyo video jamaa Yuko frustrated hadi anashika mtutu wa bunduki na kujielekeza akitaka wamuue.
Ni kosa kuchafua mazingira ila hadi imefikia hapo ni wazi kuna watu serikalini walizembea, tuache hizi show za kiki wanazofanyaga Watanzania za kuvuruga wawekezaji huku wameandamana na wana habari, kule kwao hizi show hufanywa sana na viongozi wao.
 
😀😀😀😀 ati Tz ina undermineninvestor ? Ati alitaka ajipige risasi huyu mchina ? Hahaha don't fool us,
 
MK254 embu uje na huku uone huyu mgeni anavyo nyanyasa polisi wenu
Yaani ingekuwa Tanzania huyo mchina angekuwa marehemu.Kitendo Cha kutaka kupokonya silaha Askari kingempeleka kaburini moja kwa moja.Kipigo ambacho angepata SI Cha dunia hii.Hao Askari wa Kenya wanatakiwa wote wafukuzwe kazi looo..
 
Nimeona Tatizo La Wazi Wazi Kama Ulivyoona Wewe Mkuu
Yaani Angefanikiwa Kuchukua Silaha Lazima Angewaua
Wamempeleka Kama Bwana Harusi

Alitakiwa Awe Amepata Tabu Sana
Amepigwa Amechakaa

Halafu Alitakiwa Kupakiwa Nyuma Huku Askari Amekanyaga Tumbo Lake
Polisi Kenya waje Tanzania wafundishwe walichotakiwa kumfanyia huyo mchina aliyetaka kupora bunduki aisee spati picha angefanya hivyo Tanzania ambacho kingemkuta
 
Angechakaa Hapa Tanzania
Kenya Wanamfanyia Sending Off 😆🤣😁😂
 
Ngozi nyeupe zinaogopwa Sana, Mtu mhalifu bado anataka kupora SILAHA kwa Askari ili awaue!! Halafu wanampeleka bila jeraha lolote!!! Halafu kwenye GARI anakaa mbele badala ya kwenye bodi nyuma!!!

Ndiyo ujue wanaotakiwa kuwa polisi si polisi bali mabolizozo ndiyo polisi. Ningekuwa mimi walahi huyo mchina angepelekwa ICU moja kwa moja
 
Kwanza askari alieshika bunduki ni mzembe wa kiwango cha juu sana
 
Yaani ingekuwa Tanzania huyo mchina angekuwa marehemu.Kitendo Cha kutaka kupokonya silaha Askari kingempeleka kaburini moja kwa moja.Kipigo ambacho angepata SI Cha dunia hii.Hao Askari wa Kenya wanatakiwa wote wafukuzwe kazi looo..
hahahahaha wakenya bwana ! kwanza Tz ukiwa chini ya ulinzi unaanzaje kuleta shari kama huyo jamaa wa Xi jI ping
 
Yaani ingekuwa Tanzania huyo mchina angekuwa marehemu.Kitendo Cha kutaka kupokonya silaha Askari kingempeleka kaburini moja kwa moja.Kipigo ambacho angepata SI Cha dunia hii.Hao Askari wa Kenya wanatakiwa wote wafukuzwe kazi looo..
Inawezekana huyo mchina anajua ngumi kuliko hao polisi
 
Back
Top Bottom