Chinese Civil Engineering contracting Firms.... toa ushauri

Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
524
Points
195
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
524 195
Hello Wakuu JF,
Hivi hawa ma contractors wa kichina huwa wanachukua contracts za kujenga nyumba binafsi za kuishi? Kama ndio, tupeane ushauri kutokana na experiences zetu, na pia contacts zao.
Natanguliza shukran.
 
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
524
Points
195
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
524 195
Wakuu wa JF vipi jamani, msaada wakuu. Any info you're most welcome!

Hello Wakuu JF,
Hivi hawa ma contractors wa kichina huwa wanachukua contracts za kujenga nyumba binafsi za kuishi? Kama ndio, tupeane ushauri kutokana na experiences zetu, na pia contacts zao.
Natanguliza shukran.
 
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
896
Points
500
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
896 500

mkuu,,, labda kwa kampuni ndogo. Sijui kama zipo,., ila kampuni kubwa kama cRJE, ama group six international, project ya chini kabisa wanayoweza kufanya ni lazma iwe 1 billion tshs and above... Do u think your house will worth that much????
 
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
524
Points
195
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
524 195
Hapana, sidhani kama gharama zitafikia huko.
Naona basi itabidi kutafuta local engineers, vipi uzoefu wako na hawa, any recommendations? Kampuni zilizopo Darmkuu,,, labda kwa kampuni ndogo. Sijui kama zipo,., ila kampuni kubwa kama cRJE, ama group six international, project ya chini kabisa wanayoweza kufanya ni lazma iwe 1 billion tshs and above... Do u think your house will worth that much????
 
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
896
Points
500
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
896 500
we have a construction company,,, soo ukiniambia nirecomend, i would recomend our company, inaitwa Mosha Building Works l.t.d, basically head office ipo arusha, but we work all over the country,, contact ni 0785131616 au 0758502135. Ukitaka hata sample pictures za nyumba tulizojenga na tunazoendelea kujenga, i can send u one,,, just contact me for more info concerning anything,, au unaweza kunipa number yako nikakupigia mkuu.
 
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
524
Points
195
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
524 195
Sawa mkuu, tutakutafuta.
Swali la nyongeza, je unajua utaratibu unaofuatwa iwapo mtu mwenye nyumba ya kawaida ya kuishi anataka kuibadilisha kwa kujenga ghorofa ili iwe nyumba ya biashara. Utaratibu uko vipi? vibali gani vinahitajika kutoka serikalini, pengine itachukua muda gani kupata hivyo vibali, je ni nani anastahili kushughulikia hii process nzima; contractor au mwenye nyumba? Haya machache kwanza mkuu.
Shukrani!

we have a construction company,,, soo ukiniambia nirecomend, i would recomend our company, inaitwa Mosha Building Works l.t.d, basically head office ipo arusha, but we work all over the country,, contact ni 0785131616 au 0758502135. Ukitaka hata sample pictures za nyumba tulizojenga na tunazoendelea kujenga, i can send u one,,, just contact me for more info concerning anything,, au unaweza kunipa number yako nikakupigia mkuu.
 
Forum statistics

Threads 1,285,942
Members 494,834
Posts 30,880,022
Top