China's Hilarious Invention - Toilet Seat!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
China's Hilarious Invention - Toilet Seat!


"Toilet seat" by China. Invented for those who have to spend more time in traffic jams.

Chinas-Hilarious-Invention-Toilet-Seat-009.jpg


Chinas-Hilarious-Invention-Toilet-Seat-008.jpg



Chinas-Hilarious-Invention-Toilet-Seat-005.jpg



 
bonge la ubunifu kwa bongo tunaitaji kwa jinsi tunavyopoteza mda mwingi kwenye foleni nilishawai mkushikwa na tumbo nataka kuwai nyumbani nikakumbana na foleni kwa kweli sitaki kusimulia kwani na mkojo ukaongezea mh
 
ni ubunifu mzuri,but harufu je?alafu kwaiyo inakuwa ni kama poti ya mtoto heeeeeeeee?badae ukifika inabidi uitoe ili ukamwage uchafu!inaweza kuongeza kasi ya magonjwa kama UTI kwa wale wanaoazimisha magari.ni mtazamo tu
 
Hivi hiyo privacy ya kutumia hicho choo inatoka wapi ukiwa kwenye foleni au ndio mambo ya vioo vya giza?? makubwa!!
 
Back
Top Bottom