China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

Hii kwako inakusaidia vipi? Unafaidikaje kampuni za China zikifanyiwa figisu za kibiashara?
Wewe kwako inakusaidia vipi kwani izo kampuni kama hazifanyiwa figisu? Au unafaidikaje?

Au wewe ulitaka waachiwe waibe siri za serikali watakavyo?
 
Dhuluma gani wamezifanyia nchi za kiarabu? Mauaji gani ya kikatili wameyafanya dhidi ya waarabu? Obama alivyovamia Libya mliufyata kwa sababu eti ni muislamu mwenzenu na mkashabikia kuuwawa kea Ghadafi mwislamu mwenzenu. Hebu Mambo mengine bora tukae kimya.

Muislamu wakweli na anaemuogopa Mwenyezi Mungu na kufuata maamrisho yake hawezi thubutu kufanya huo ushenzi wa kuuwa waislamu wenzie, na hata wakristo pia wasio na hatia,,huyo obama si Muislamu, ni kafiri. Laanatullah alayhi.
 
Bushi mi sijui kuandika lakini huna ulichoandika cha maana bado.

Dalmine maisha yako ya kuishi na vidubwana cheap vya china sio sawa na kila mswahili. :)
Ungeelewa kwanza kwamba China ni workshop ya dunia ungejua kampuni zake zinapofanyiwa vikwazo vya biashara ina athari gani katika uchumi wa dunia.. Ila hilo pia kama ni gumu sana kuelewa fikiri tu toka USA wawawekee vikwazo Huawei project mpya za 5G zinasogea kwa spidi gani.? Vichwa hua mnaviacha wapi mnapokuja kuchangia mada kama hizi?
 
USA inakuchunguza wewe as individual, wewe unahisi ni sawa na NCHI kuichunguza NCHI?
It seems U r a narrow minded person, that is why U don't know how this Big nations operate, especially on the issue of espionage
www.theguardian.com › jul › n...

Web results​

NSA tapped German Chancellery for decades, WikiLeaks claims | NSA ...

8 Jul 2015 — The US National Security Agency tapped phone calls involving German chancellor Angela Merkel and her ..
Merkel's phone tapped by US since 2002, leaked documents claim
27 Oct 2013 — ... the weekend, with allegations that the US had monitored Angela Merkel's mobile for more than a decade.
 
Ungeelewa kwanza kwamba China ni workshop ya dunia ungejua kampuni zake zinapofanyiwa vikwazo vya biashara ina athari gani katika uchumi wa dunia.. Ila hilo pia kama ni gumu sana kuelewa fikiri tu toka USA wawawekee vikwazo Huawei project mpya za 5G zinasogea kwa spidi gani.? Vichwa hua mnaviacha wapi mnapokuja kuchangia mada kama hizi?
Vichwa huwa tunaviwacha huru katika kutafuta knowledge havishikwi kama kilivyoshikwa chako. China ni cheap labor workshop, makampuni yanatizamia India sasa ivi. Bila workshop ya China dunia inaweza kusonga mbele vizuri sana, hatuna haja na workshop zenye kuendeleza Slavery!

By the way, unalia na 5G wakati 4G apo ulipo shida tupu!
 
It seems U r a narrow minded person, that is why U don't know how this Big nations operate, especially on the issue of espionage
www.theguardian.com › jul › n...

Web results

NSA tapped German Chancellery for decades, WikiLeaks claims | NSA ...
8 Jul 2015 — The US National Security Agency tapped phone calls involving German chancellor Angela Merkel and her ..
Merkel's phone tapped by US since 2002, leaked documents claim
27 Oct 2013 — ... the weekend, with allegations that the US had monitored Angela Merkel's mobile for more than a decade.
I see a wide minded person using U r

Hakuna nchi katika zilizoendelea ambazo hazimchunguzi mwenzake, kuna tofauti kati ya USA kutumia hackers ama ku plant chips kwenye target yao na CHINA kutumia HUAWEI kuiba data za serikali.
 
Vichwa huwa tunaviwacha huru katika kutafuta knowledge havishikwi kama kilivyoshikwa chako. China ni cheap labor workshop, makampuni yanatizamia India sasa ivi. Bila workshop ya China dunia inaweza kusonga mbele vizuri sana, hatuna haja na workshop zenye kuendeleza Slavery!

By the way, unalia na 5G wakati 4G apo ulipo shida tupu!
China ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani baada ya Marekani.

Hivyo Donald Trump aliposhawishika kuweka vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 3,900 dhidi ya China alipaswa kufikiria mara mbili.

Wachina wamekaa kimya huku wakifanya utafiti wao na wamekuja na huo uamuzi.

Ni jukumu la Marekani chini ya Biden kuwaomba China wakae tena meza moja wayamalize.
 
Utafiti gani huo wameufanya?
 
China wamefanya utafiti wao na kugundua hao 28 akiwemo Pompeo ni nani na wana nini na wamewapiga ban.

Hao watu 28 ni watu wenye interests zao huko China.
Wamewapiga travel ban sio kufanya business na Chinese companies.
 
Sasa unachopinga ni nini?? Nyie ndio mnaotupiwaga miganda ya ndizi lakini mmo tu. Vichwa ngumu nyie, ingelikua mwarabu amefanya hivyo mngesusia hata kukanyaga nchi zao.
 
Attachments

  • Screenshot_20210123-164740_Instagram.jpg
    Screenshot_20210123-164740_Instagram.jpg
    91.5 KB · Views: 1
Sasa unachopinga ni nini?? Nyie ndio mnaotupiwaga miganda ya ndizi lakini mmo tu. Vichwa ngumu nyie, ingelikua mwarabu amefanya hivyo mngesusia hata kukanyaga nchi zao.
Wewe unaekula ndizi huyo Trump ana nini uko China? Biashara zake zote USA ama EUROPE. Wangeonesha makucha yao wakati yupo madarakani kama wao vidume basi. Unamsema maiti wakati hawezi kujitetea :D Unafiki tu.....
 
Back
Top Bottom