China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

Kama wewe sio mjinga zaidi yangu nitajie bara ambalo hawajawahi kuwa na empire wars?
Hizi vita kama ya DRC sio Kati ya waafrika ni Kati ya Mabeberu na waafrika
Huyo anatetea asicho kijua huyo ndio miongoni mwa wale wanao amini kuwa wazungu walikuja Africa kutuletea ustarabu tu na si vinginevyo ila huyo mzungu akimuita nyani anaanza kulalamika kuwa anabaguliwa.
 
Hakuna kitu kama hicho...

Serikali ya Peking ina mfumo ule ule mmoja wa kiasiasa tangu enzi na enzi na hakuna nchi iliyoiga mfumo huo...
Hunielewi na mimi sikuelewi😂😂 tutakuakua hatuelewani
 
China imewauma Huawei kufanywa ilichofanywa na wakina Trump.

Sisi nchi za Afrika tuko wapi? Huyu China kwa kutumia mitambo aliyowapa AU alikua anaiba data za vikao kila siku usiku na tulishindwa hata kumtaka aombe radhi.

Dependency inatumaliza.
Dah! My Africa.
Sasa baada ya AU kushtukia ubadhilifu huo wa kuibiwa data na wachina walifanya nini mkuu?
Nalog off
 
Huyo anatetea asicho kijua huyo ndio miongoni mwa wale wanao amini kuwa wazungu walikuja Africa kutuletea ustarabu tu na si vinginevyo ila huyo mzungu akimuita nyani anaanza kulalamika kuwa anabaguliwa.
Na hawa ndio wanatumika kama mangungo wa msovero na Tundu wa Belgium
 
Inawezekana wewe una ubongo wa konokono ndio maana akili yako nzito sana kung'amua mambo.. Ila sio shida bata mimi ni hodari na makini kuongoza watoto kama wewe
Kamzalie Korosho mkono uende kinywani. Ndiye mungu wako
 
China imewawekea vikwazo vya kusafiri na biashara Maafisa 28 wa Marekani akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo kwa kuharibu uhusiano baina ya China na Marekani, Maafisa hao na Familia zao hawataruhusiwa kuingia China.

Wengine kwenye orodha hiyo ni pamoja na Peter Navarro, Robert C. O’Brien, David Stilwell, Matthew Pottinger, Alex Azar II, Keith Krach na Kelly D. K. Craft.
 
Tafuta KAZI halali, matumizi ya Tigo 🍑 hayana sustainability
Mimi nafanya matumizi halali ya njia iliyoamriwa na mwenyezi Mungu.

FaraghaTigo unatumia wewe uliyedanganywa na Tundu kwamba ni haki yako kikatiba, haupo ndani mfumo sahihi ndugu utaharika🙄🙄
 
Aah..
Hao pimbi wa China hawana jipya. Aende kutafuta nini huko, bidhaa feki?

Mchina mtamuona wa ajabu lakini anaona mbali na anajitambua pia, sio kama ninyi wambantu mnamuona mzungu kama almasi ndiomaana wanawadharau na kuwatupia miganda ya ndizi.

Na kwa taarifa yako mchina anatengeneza bidhaa origino na za kawaida ili kuturahisishia sisi wenye kipato cha chini tuweze kuvimiliki.
 
China nao wamesubiri muda wake ueshe ndipo wapanue kinywa au ni kujikosha 😂😂😂 sasa ataenda kutafuta nini China? Iphone?
Hawa jamaa kweli maboya. In short Trump kawaweza. Na angeendelea kuwa rais wangejamba sana wachina mana Xiaomi wamewekwa na wao kwenye list ya HUAWEI japokuwa wao kidogo wamefanyiwa unafuu
 
Ulipaswa kumshukuru Mungu wako kwa kuwepo na taifa kama Marekani!Tofauti na hapo waafrica mngeuawana kama kuku na hakuna aambaye angejali!Mngeweza kutesana na kufungana na huyo Mchina yeye akaangalia maslahi yake na kuondoka kama haoni chochote!Usisahau hilo kumshukuru Mungu kwa hilo!
Huyo mama uliyemkot ni miongoni wa wauaji na watesaji, sidhani ikiwa ataona cha maana katika komenti yako
 
Back
Top Bottom